Njia za kuacha punyeto

Njia za kuacha punyeto

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,871
KUJICHUA ni moja ya changamoto kubwa sana kwa wanaume wengi, na wengi wanajua madhara yake lakini wanashindwa kuacha. Ni kama mnyororo unaokuchelewesha kimaisha na kukupotezea nguvu zako za kiume bila wewe kujua.

Kabla hujachukua hatua ya kuacha, ni muhimu kuelewa kwanini unataka kuacha na nini kinakukwamisha.
Leo nakupa mbinu chache rahisi lakini zenye nguvu zitakazokusaidia kuachana na tabia hii kabisa na kurudisha heshima yako kama mwanaume rijali.

Soma hizi point kwa makini 👇🏽👇🏽

✅ 1️⃣ TAMBUA ATHARI AU MADHARA YA PUNYETO
kabla hujachukua hatua ya kujichua, jiulize “nitajisikiaje baada ya hapa?”. kumbuka punyeto inaleta uchovu, kuishiwa nguvu, kupoteza hamu ya tendo na kushindwa kusimama vizuri kadri umri unavyoongezeka.

✅ 2️⃣ EPUKA VICHOCHEO
usitazame video za ngono, picha za uchi, au kufollow page za warembo wanaoonyesha miili yao. hivi vitu vinachochea hisia zako na kukusukuma ujichue.

✅ 3️⃣ EPUKA KUKAA PEKE YAKO MUDA MREFU
kama uko single au hostel, jitahidi kuwa karibu na watu, usikae chumbani peke yako muda mrefu kwani hisia zinakupanda ukiwa peke yako.

✅ 4️⃣ KUWA BIZE / JISHUGHULISHE
jishughulishe na mazoezi, biashara ndogo, kujifunza skills mpya au kujisomea. ukikaa busy mwili wako hautapata nafasi ya kuwaza kujichua.

✅ 5️⃣ OMBE MSAADA WA KIROHO
punyeto ni roho chafu na mnyororo wa kiroho unaowatesa wanaume wengi. muombe mungu akukomboe, soma neno lake na ukae mbali na dhambi za siri.

KAMA UMESHAATHIRIKA NA PUNYETO NA UNAONA DALILI KAMA
▪︎Kukosa Nguvu za kiume
▪︎Maumbile kuwa Madogo au Kulegea
▪︎Kutoa Mbegu nyepesi
▪︎Kukosa Hamu ya Tendo

😷Usikae Kimya. Anza PROGRAMU Haraka Ujikomboe Kabla Hali Haijawa Mbaya Zaidi.

👇Bonyeza Link Kuona Muongozo Uliowasaidia Wanaume Wenzako Kama wewe Kujikomboa Kutoka kwenye. P
 
Back
Top Bottom