Njia ya wajinga

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Wajinga wawili walikutana mmoja akamuuliza mwenzake wapi anaenda, akamjibu "sijui ninapoenda", na yeye alipoulizwa akasema vilevile "sijui ninapoenda", basi mmoja akamwambia mwenzake "tufanye haraka kwenda kwani njia yetu moja".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…