Njia ya maandamano ya UKUTA

Njia ya maandamano ya UKUTA

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
381
Reaction score
83
Jamani naombeni kujua barabara tutakazotumia hapa Dar siku ya trh 01 Septemba wakati wa maandamano ya UKUTA.
 
Jamani naombeni kujua barabara tutakazotumia hapa Dar siku ya trh 01 Septemba wakati wa maandamano ya UKUTA.
Nenda kituo kikuu cha polisi Dar ofisi za kanda maalumu watakupa ratiba kwa Kamanda Simon N.Sirro ni mpole sana atakupa maelekezo yote kama elimu tu wala hatakupa kibano ni mstaarabu mno
 
Haaa haaaa Barabara za Nelson Mandela ukiona bendera zenye rangi nyekundu,nyeupe na blue unaunga hata kama huna bendera unachukua hata majani ya mti.
 
Hakuna kuandamana ndugu Wazalendo wananchi wapendwa epukeni nguvu za dola, Kama kweli nyie ni Watanzania basi acheni kuandamana ili wapatikane wasio watanzania na waseme nani kawatuma, na kwa lengo lipi vilevile Ogopeni Mungu huo wala sio mpango wa mungu ni
mpango wa Lucifer alielaaniwa.Mungu atubariki na siku ya tarehe moja watu twendeni kwa wingi kushuhudia maadhimisho ya kipekee na mapya ya Jeshi letu ambayo kwa mara ya kwanza yatakua ya kipekee watu wote muende mkashuhudia vikosi vyetu bora kabisa maana awamu hii yatafana kweli, kuliko kwenda kwenye vurugu yenye jua kali na kiu barabarani
 
Jamani naombeni kujua barabara tutakazotumia hapa Dar siku ya trh 01 Septemba wakati wa maandamano ya UKUTA.

Hakuna kuandamana ndugu Wazalendo wananchi wapendwa epukeni nguvu za dola, Kama kweli nyie ni Watanzania basi acheni kuandamana ili wapatikane wasio watanzania na waseme nani kawatuma, na kwa lengo lipi vilevile Ogopeni Mungu huo wala sio mpango wa mungu ni
mpango wa Lucifer
alielaaniwa.Mungu atubariki na siku ya tarehe moja watu twendeni kwa wingi kushuhudia maadhimisho ya kipekee na mapya ya Jeshi letu ambayo kwa mara ya kwanza yatakua
ya kipekee watu wote muende mkashuhudia vikosi vyetu bora kabisa maana awamu hii yatafana kweli, kuliko kwenda kwenye vurugu yenye jua kali
na kiu barabarani
 
Jana viongozi wamechukuliwa kama kuku wa kisasa pale Giraffe hotel hakuna hata mmoja aliyenyanyua bendera kupinga kitendo hicho. Halafu mnadangayana kuandamana. Haya tuone.
 
Tutaanzia pale........then tutaenda kulia, then kwa mbele kwenye traffic lighst tutakunja kulia mpaka Upanga sea view, then AghaKhan Hosp, then Ocean Road tunawaona wagonjwa/ndugu zetu na kuwapa misaada.. tunazunguka mpaka ferry, tunanunua samaki, tunarudi nyuma kidogo....

Halafu tunapitia hapo Chuo cha Magogoni, kwa mbele tunasimama pale Wizara Ya Elimu, tunatoa tamko kupinga Elimu ya Sayansi kufutwa shuleni na michezo...!

Baada ya hapo, tunarudi mpaka Stasheni, TRA long room, tunalaani kesi ya Masamaki kukaa kimya bila kutwajwa... wahusika wakiwa uraiani....

Hapo long room, tutaenda mpaka NSSF Water Front kuikumbuka NASAKO yetu, tukimaliza tunatawanyika
 
Kamuulize makonda yeye ndio mratibu mkuu wa operation ukuta
 
Back
Top Bottom