Njia ya kufika kambini makutopora

Njia ya kufika kambini makutopora

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
226
Reaction score
235
Wakuu,
Heshma yenu
Nahtaji kufika kambini makutopora dodoma kutokea iringa kwa anaejua njia ya kufika naomba kujuzwa natanguliza shukrani
 
Makutopora iko Barabara ya kwenda arusha

Ova
 
1Ukifika Dodoma kodi boda boda kwenda kambini Makutupora maili 13 toka town center barabara ya kwenda Kondoa boda boda ni 5000 mpaka makutupora JKT
2.Unaweza ukakodi bajaji mpaka Makutupora ni shs 10,000
3. Daladala zipo za kwenda Msalato hadi Veyula pale mpaka kambini makutupora ni maili 3. ukakodi boda shs 1000 inakufikisha hadi quatergurad.
Makutupora JKT iko njia ya kwenda Kondoa Hadi Arusha maili 13 toka Dododma mjini kibao cha kambi kipo njiani upande wa kushoto wa barabara.
 
Shukrani Sana mkuu
 
Toka Unakotoka Hadi Dodoma, Halafu Panda Daladala Kwenda Veyula Kupunguza Gharama.
Hapo Veyula Utapanda Pikipiki Tu
Jipange Kwenda Kwa Buzi, Bustani, Zabibu
 
1Ukifika Dodoma kodi boda boda kwenda kambini Makutupora maili 13 toka town center barabara ya kwenda Kondoa boda boda ni 5000 mpaka makutupora JKT
2.Unaweza ukakodi bajaji mpaka Makutupora ni shs 10,000
3. Daladala zipo za kwenda Msalato hadi Veyula pale mpaka kambini makutupora ni maili 3. ukakodi boda shs 1000 inakufikisha hadi quatergurad.
Makutupora JKT iko njia ya kwenda Kondoa Hadi Arusha maili 13 toka Dododma mjini kibao cha kambi kipo njiani upande wa kushoto wa barabara.
Je kama unaelekeza gaidi? Be careful
 
Back
Top Bottom