Njia ya kuepuka majanga katika maisha

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,166
2,427
Salaam,

Wengi wetu tunapitia majanga ktk maisha yetu, ajli ya kupuuza maonyo na maagizo ya roho zetu

Roho zetu ni jicho letu la kiroho, linalotuhabarisha yaliyo mbele yetu, ajili ya kutuepusha na majanga.

MUUNDO WA MTU
  • Ushirika wa mwili na roho, humkamilisha mtu.
  • Ushirika huu, huunda nafsi, ambayo ni mfumo endeshi wa maisha yetu.
  • Nafsi kupitia mwili hushughulika na mambo ya kimwili yamhusuyo mtu.
  • Nafsi kupitia roho hushughulika na mambo ya kiroho yamhusuyo mtu.
Hitimisho: Pande zote hutimiza majukumu yake ajili ya kutukamilisha, hivo usipuuze maonyo na maagizo ya roho yako ili uepukane na majanga ktk maisha yako.

Nb: Itapendeza kama utashare kisa cha majanga ulowahi kutana nayo kwa kupuuza maonyo na maagizo ya roho yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom