Njia ya kuelekea uzee wa hovyo

Njia ya kuelekea uzee wa hovyo

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
595
Reaction score
716
"Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
 
U

Ukiongeza maelezo unaweza kuwa na msaada kwa vijana wa sasa
 
Mkuu nasikia mboso khan katoa video mpya ya wimbo wa PAWA... Ni kweli..?

Wanaimba hvi
Pawa pawa naishiwa pawa
 
"Kijana, ukiyakimbia maisha kama mkimbizi, jiandae kupokewa na maafa. Maana mwisho wa safari unaweza kuwa mzee wa hovyo asiye na hadithi ya maana." — Alloyce, P.R.
Kuyakimbia unamaanisha nini? Maana ukikomaa ndio umekubali kuwa mzee wa hovyo. Yaani wewe unaona kabisa ukiishi Dar unaishia kuwa mtu wa kawaida badala ukimbie uende zako Mbarali ukawe miongoni mwa watu unasema usiyakimbie Maisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom