kutokana na baadhi ya watu kutokua wasitaarabu wakati wa kula, mababu zetu walitumia njia mbalimbali kuwakomesha walafi.
kuna uchawi wa zongo huu upo sana maeneo ya Tanga, ukifika tanga kama usipokuwa mstaarabu unapigwa ZONGO (zongo ni uchawi Wa kuvimbisha tumbo) tumbo linavimba kama kama mama mjamzito, ukionekana kutoacha ulafi
Usipo acha ulafi wanakutupia kajini kadogodogo wakati Wa kula (hakaonekani kwa wote bali kwako tu) kanakuwa kana kupiga makofi wakati wa kula, ukiwa bado mvumilivu kwa umahili Wa kukwepa hayo makofi;
Basi utaongezewa kajini kengine kabaunsa, haka kajini kazi yake ni kukushikilia mikono wakati Wa kula hadi wenyeji washibe; (Hakaonekani kwa wote Bali kwako tu) baada ya chakula kinakuachia....Utasonya utavimba lakini potelea mbali hutasema kilichokutokea.
Tukiachana na uchawi Wa Tanga,Twende Huko morogoro kuna kabila la wadamba, kiboko ya roho mbaya, ukijitia mlafi wakati wa kula kuna style yao ya kimila yaani wanakunja vidole Vitatu vya mwisho kwa ustadi,baada ya hapo kitakachokupata wewe Mgeni unakuwa kama umekabwa kooni- unapaliwa chakula utakohoa mishipa yote itakusimama. huwezi tena thubutu kuendelea kula chakula kwa kabali zile,
Hivi ndivyo walafi wanashughulikiwa.