hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Bokoharam, Alshabab, Islamic state, nk.
Kwa njia ambazo wanapita za ugaidi hawezi kuja kupata majibu ya maswali yao. Kwa sababu wenyewe baada ya kutatua matizo waliyo kuwa nayo ndio wanazidi kuongeza matatizo mengine.
Na sijui ni nani atakuja kuwashtua kwenye usingizi mzito waliolala.
Na nataka kuuliza hivi kuna kundi la kigaidi ambalo limewasha wahi kutumiza malengo yake kwa njia ya ugaidi?