Njia rahisi za kujua sifa za computer yako

Hafidhmussa95

Member
Aug 24, 2017
20
15
Kuna mazoea ya kutumia kitu kwa mda mrefu bila ya kujua sifa zake

Leo nitakueleza namna ya kujua sifa za computer yako
Njia rahisi ya kujua sifa za computer yako
Njia hii ni kwa computer zinazotumia mfumo wa Window na Mac

MFUMO WA MAC

Kwa wanaotumia computer za Mac
Unachotakiwa kufanya ni ku click icon ya apple iliyopo juu upande wa kushoto
Kisha bonyeza about this MacView attachment 907613View attachment 907614View attachment 907615

MFUMO WA WINDOW

Kwa wanaotumia computer za window
Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza Window + R kisha utaandika neno msnifo32 katika search bar kisha utabonyeza neno Ok.
IMG_6062.JPG
IMG_6064.JPG
IMG_6065.JPG
 
kwenye PC ya window 7 inakataa inaandika

Window can not finf Msnifo32.Make sure you typed the name correctly,and then try again
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom