dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 695
Salama wakuu....
Nina rafiki yangu Yuko Ujerumani. Amenialika mwezi huu wa kwanza nikimbie Ujerumani kusafisha macho kidogo na Kuona wenzetu wamefika wapi.
Documents zote nimeziandaa tayari. Ipi ni NJIA sahihi itayonifanya nipate Visa ndani ya mda mfupi sana.