Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,548
- 64,910
- Thread starter
- #21
ha ha ha ha haWahuni sio watu wazuri mpaka hii post tuna ulizia picha
ha ha ha ha haWahuni sio watu wazuri mpaka hii post tuna ulizia picha
Sawa mkuu nilitaka kuitumia kwababy mama wanguAliyezalishwa ni mtu mwingine...atavumilia tu ingawa nafsi itakuwa inamuuma.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani tatizo nini dunia ikiona wengine watatumia style zilizomo humo Kwa ma chick wao kikubwa nikuhakikisha unamkunja kama Samaki wakubanikwa Na moshi
Usiitumie kwa huyo utapata laanaSawa mkuu nilitaka kuitumia kwababy mama wangu
Labda kama hujazaliwa kwenye maadili yetu
ha ha ha ha inakuwaje mkuuUsimfanyia hivyo mwanamke wa Mbozi unaweza hisi alipewa mafunzo na alkaida
Mkuu Haya maadili wewe tu umeyaharibu babu zetu walikua wanatembea uchi wanaziba nyapu Na matiti tu wewe unavaa nguo full
ndivyo ilivyo ukitaka kutukuza ya enzi yabebe kwakuyapakata ukichutama yaweke kiunoni kisianguke kituNdoulivyokuta kwenu wanavaa au umekaririshwa darasani mkuu
Mkuu unaweza kukumbuka na kuimba nyimbo zako zote ulizowahi kuimba utotoniha ha ha ha inakuwaje mkuu
ha ha ha ha haMkuu unaweza kukumbuka na kuimba nyimbo zako zote ulizowahi kuimba utotoni
Hiyo ni njia ya busara ingawa changamoto yake lazima mfikie makubaliano fulani,kama fidia n.kNjia rahisi kabisa ni kumwambia ukweli tuu, kuwa upendo umepungua!
Na inatakiwa itumike busara!Hiyo ni njia ya busara ingawa changamoto yake lazima mfikie makubaliano fulani,kama fidia n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi wangu ntamsevu "bwawa"
Vipi kama yeye ndo mwenye helaMnyime hela tu atajiondoa mwenyewe hayo mengine mbele ya Pesa yanavumilika.
Ni kweli mkuu, ni bora muachane kwenye urafiki kabla ya kufikia hatua nyingine,kwa sababu jinsi unavyokaa na mtu muda mrefu ndio unamzoea,inapokuja kufikia suala la kuachana huwa ni pigo kwa mwingine (urafiki----uchumba----ndoa).Na inatakiwa itumike busara!
Utatakiwa kuwa mpole tuVipi kama yeye ndo mwenye hela