Njia rahisi kuondoa Window Moja kwenye Pc yenye Windows Mbili..

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
umeinstall window na ukashindwa kuiondoa ile ya zamani na kila ukiwasaha kompyuta inatokea hivi

windows-8-multi-boot.png

au

353817-multiboot-startup-menu.jpg

twende pamoja ili ujue njia rahisi ya kuiondoa window moja ambayo huiitaji

JINSI YA KUIONDOA HIYO AMBAYO HUIITAJI

1. Bofya kitufe cha windows pamoja na R (Win+R) au fungua start menu kisha bofya "Run"

2. itafunguka dialog box ya run, andika neno "msconfig" bila "" kisha bofya ok

3. itafunguka dialog box "system configuration utility"
kama unatumia windows xp chagua "boot.ini"kama unatumia later versions chagua kama hivi hapa chini.

removewindows7frombootinmsconfig.png

4. chagua window ambayo huitaki kisha delete, baada ya hapo apply, na click ok

5. kompyuta itaakuuliza kama unataka kurestart au lah,

finally, nenda kwenye folder lilikuwa na windows ya zamani (uliyoifuta)... mfano D:/windows.old (mwenyewe utakuwa unajua lilipo) kisha delete hilo folda. baada ya hapo restart pc yako na itakuwa ina window moja tu

Kama umejifunza jambo jipya, au imekusaidia kiaina, bofya Like
im out, usiku mwema guys
 
Mi nimefuata maelekezo yote ila sikuona sehem ya kudeleate natumia xp 2009, hapo sijui nitumie mbinu gani tena
 
Mkuu C6 ubarikiwe,
kama pc ina two different os, lets say (windows os and linux), kwa njia hii naweza kuitoa moja, linux itaonekana pale ktk system configuration utility?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu!!! mm Bado Npo Na Seve tuuuu!!! mnisaidie Link Nishushe Windows 8
 
Mkuu C6 ubarikiwe,
kama pc ina two different os, lets say (windows os and linux), kwa njia hii naweza kuitoa moja, linux itaonekana pale ktk system configuration utility?

sijaijaribu kwenye os tofauti kama win na linux ila pale lazima itokee...
 
Last edited by a moderator:
umeinstall window na ukashindwa kuiondoa ile ya zamani na kila ukiwasaha kompyuta inatokea hivi

windows-8-multi-boot.png

au

353817-multiboot-startup-menu.jpg

twende pamoja ili ujue njia rahisi ya kuiondoa window moja ambayo huiitaji

JINSI YA KUIONDOA HIYO AMBAYO HUIITAJI

1. Bofya kitufe cha windows pamoja na R (Win+R) au fungua start menu kisha bofya "Run"

2. itafunguka dialog box ya run, andika neno "msconfig" bila "" kisha bofya ok

3. itafunguka dialog box "system configuration utility"
kama unatumia windows xp chagua "boot.ini"kama unatumia later versions chagua kama hivi hapa chini.

removewindows7frombootinmsconfig.png

4. chagua window ambayo huitaki kisha delete, baada ya hapo apply, na click ok

5. kompyuta itaakuuliza kama unataka kurestart au lah,

finally, nenda kwenye folder lilikuwa na windows ya zamani (uliyoifuta)... mfano D:/windows.old (mwenyewe utakuwa unajua lilipo) kisha delete hilo folda. baada ya hapo restart pc yako na itakuwa ina window moja tu

Kama umejifunza jambo jipya, au imekusaidia kiaina, bofya Like
im out, usiku mwema guys

we noma! LIKE
 
Mkuu C6 ubarikiwe,
kama pc ina two different os, lets say (windows os and linux), kwa njia hii naweza kuitoa moja, linux itaonekana pale ktk system configuration utility?
Ipi sasa iondoke
Kuondoa Linux--> Delete Partition ilipo na uende ktk Rec console uicommand fixmbr
Kuondoa windows--> Delete Partition and Edit Grub entries!
 
mkuuu!! mm Nmejarbu Hii Njia Nataka Jufuta Mint Ila Haionekani.... naiona 7 Pekeakeeee
 
tumia njia hii hapo ya CTO
 
Last edited by a moderator:
je kama nili-install programs au nilihifadhi documents zangu kwenye window iliyofutwa documents na hizo programmes zitakuwepo kwenye OS itakayobaki?
 
Back
Top Bottom