Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
jambo Usillolijuas bwanea. Nime downlord , Hii ni Ndafu!! Vibao vvya SL na camera sio siri ya kufichwa. Lengo ni kuepusha ajali zinazokwepeka.Unajidanganya sana. Hiyo app haifanyi kazi in real time, inachofanya ni kukuonyesha 50 nyingi zilipo na tochi zilizorepotiwa kuwepo wakati wana mark uwepo wa tochi, sasa we jidanganye unyooshe goti afu uone unavochangia pato la Taifa kwa njia ngumu.
Huo si uhalifu. Camera haitakiwi kufichwa eti hadi askari anapanda kwenye mti. Mbona ulaya kila kwenye camera kuna alama inayo onyesha? Au na wao ni wahalifu?
Mkuu nashukuru sana, hii kitu nliitafuta mdaHii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.
Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play
Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android
Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.
Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.
Asante na niwatakie safari njema.
Ngoja niijaribu only kwa kutaka kuhakikisha. .Mimi napenda sana kufuata sheria za usalama wa barabarabi kwasababu ni kwa usalama wangu. ....
Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.
Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play
Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android
Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.
Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.
Asante na niwatakie safari njema.
Huo si uhalifu. Camera haitakiwi kufichwa eti hadi askari anapanda kwenye mti. Mbona ulaya kila kwenye camera kuna alama inayo onyesha? Au na wao ni wahalifu?
Mita 1000 ni Km moja mkuu be informed. Hakuna tochi yenye uwezo huoKamera na rada za polisi za kudhibiti mwendo zinakamata umbali hadi wa mita 1,000.
Kwa hiyo app yako utakuwa ushaingia kwenye anga zao.
Jiandae na faini tu.
Na ukipita mahali ambako hakuna mawasiliano ya internet inakula kwako big time.
Anatakiwa kukamatwa mara moja.Kwa nini wasituletee Teknolojia ya kusense speed limit mbele yako,Zebra cross ahead,sharp corner ahead nk.Yaani kusense hatari zilizo mbele yako?Unatakiwa ukamatwe wewe
Mita 1,000 ni uongo mkubwa MNO! Kwanza walio wengi wanatumia application moja ya simu za mkononi. Hizo kamera za simu haziwezi kwenda huo umbali wa kilomita moja, hata kwa muujiza!Kamera na rada za polisi za kudhibiti mwendo zinakamata umbali hadi wa mita 1,000.
Kwa hiyo app yako utakuwa ushaingia kwenye anga zao.
Jiandae na faini tu.
Na ukipita mahali ambako hakuna mawasiliano ya internet inakula kwako big time.