Ushauri wa bure kabisa huu.kabla ya kuroot fikilia hv...UNATAKA KUROOT KWA SABAB ZIP...KTU GAN UMEKOSA MPAKA UROOT....kama umekosa majbu....UCTAKE KUHARIBU CMU BURE BILA SABAB ZA MCNG KUNA MTU MPAKA LEO ANALIA CMU ISHAKUWA JANGA KUROOT HUKOHUKO HVO VTU NI ILLEGAL....
Je ninaweza kuchange muoneka wa pale juu kwenye noticification kama betri saa??
Nina huawei y530,ilikuwa locked kwa tigo(ila nisha i unlock),vp kingroot itaweza kuiroot?
Je ninaweza kuchange muoneka wa pale juu kwenye noticification kama betri saa??
Sijaelewa statment yakoWakuu nimefanikiwa kuroot tecno yangu kwa kutumia kingroot. Nimegundua kumbe ukiroot simu inakuwa nzuri sana.
Hii simu nilinunua 230,000 lakini baada ya kuroot nimeona kama ina thamani hata ya 400,000.
Mkuu uki root simu haibadiliki. Acha kupotosha umma. Hadi u struggle kidogo kuhusu cmw/twrp na custom roms.Ndio unaweza ukiroot
Acha uvivu soma thread yote kisha ndo u comment.Halafu mkuu nini faida za ku root simu..
We ni muongo. Au simu yako ni clone. Achana na haya mambo...sio simu zote samsung advance yangu imekataa
Pitia pitia hili jukwaa vizuri. Tulishajadili hilo.Ku-root cm, ku-root cm ndo nn hii kitu naickia sn ati? Na nn faida zake? (Msaada tutani)
We muongo. Izo simu ni simple zaidi. Umetumia app gani? Nimesema tumia kingroot app v 4.0.5Huawei y 300 imegoma.. pia y 530 imegoma nitumie app ipi waungwana
kabla ya kuroot fikilia hv...UNATAKA KUROOT KWA SABAB ZIP...KTU GAN UMEKOSA MPAKA UROOT....kama umekosa majbu....UCTAKE KUHARIBU CMU BURE BILA SABAB ZA MCNG KUNA MTU MPAKA LEO ANALIA CMU ISHAKUWA JANGA KUROOT HUKOHUKO HVO VTU NI ILLEGAL....
Ndio unaweza ukiroot