Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

Nenda kwenye shina au tawi kachukue kadi na uwe karibu ili angalau ujulikane julikane, nafasi zikitoka nenda ofisi ya tawi au kata waambie unataka kujiunga, utaunganishwa faster tu. Mtumikie kafiri upate ujira wako. Ukitaka kutoka kimaisha hakikisha unakua na kadi mfukoni.
Ni kweli ila unaweza usichukuliwe pia na kadi yako.
 
Mmmmh ! Uwe JKT ukose, uwe na kadi kwa kujipendekeza kwa wanachama viongozi, ukose, n.k sasa mtu afanyeje ili kupata uhakika Wa kuwa mwanajeshi Wa JWTZ kabla ya kuondoka dunia hii jamani mbona mambo yanakuwa magumu hivi ?
 
Kamanda, ingenitokea hilo zari LA kupata nafasi ya kuwa mjeda Wa JWTZ, Mimi ningekuwa tayari kwa lolote mkuu.Hata ingetokea kwamba siku hiyo hiyo nimevikwa UTUKUFU WA MUNGU a.k.a BAKABAKA, halafu wakaniamrisha kwenda front line kupigana vita, NINGEENDA CHAPCHAP TENA KWA ROHO MOJA NA SAFI KWA SABABU HII KAZI NAIPENDA SANA, ipo moyoni.Sijalazimishwa au kuvutiwa na chochote kingine huko zaidi ya kupipenda kwa dhati tuu kwa hiyo KUSINGEKUWA NA SHIDA YYT YA MIMI KUWEKWA 92 KJ AI HIYO 44 ! I LOVE U JWTZ ! MWAAAAH !!!!! LOL
Mwaaah?Aisee jeshi halitakagi mambo ya kishoga Arifu,kaza kundu mjomba.
 
Mwaaah?Aisee jeshi halitakagi mambo ya kishoga Arifu,kaza kundu mjomba.
Unashindwa kunisaidia unaanza upupu ! C ukae kimya tuu Ndg ¿ ulishaona Mtu kwenda jeshini akiwa hana jicho imara ? Kama mpenzi anayependwa anabusiwa, kwa nini nisilipatie busu jeshi (JWTZ) nnalolipenda kuliko mke ? chenga sana wew.
 
Unashindwa kunisaidia unaanza upupu ! C ukae kimya tuu Ndg ¿ ulishaona Mtu kwenda jeshini akiwa hana jicho imara ? Kama mpenzi anayependwa anabusiwa, kwa nini nisilipatie busu jeshi (JWTZ) nnalolipenda kuliko mke ? chenga sana wew.
hahah eti mwanajeshi anasema MWAAH mara LOL,kaza KUNDU dogo.
 
Tena hafai kweli kwanini asingewatafuta makamanda kimya kimya huko mitaani
Hayo ni mawazo yako nimekuelewa lkn humu JF kuna watu wengi na wanajeshi wamo pia, kwa hiyo Mimi kuhitaji msaada humu NI sahihi tuu ndg
 
Makamanda mbona mpo kimya ? Brigedia jenerali +++ , KANALI, C.O OLJORO RTS N.K .... JAMANI NAOMBA UNISAIDIE MTANZANIA MWENZAKO ILI NIWE MWANAJESHI JWTZ KWA SABABU NALIPENDA HILI JESHI LA NCHI YANGU JAMANI, ILI NA MIMI NIWAJIBIKE KWA KUFANYA KILE MUNGU ALICHONIWEKEA NAFSINI KWANGU, KABLA MUNGU HAJACHUKUA ROHO YAKE KUTOKA KWANGU.SIYO KILA MTU ALIYEFIKA CHUO KIKUU KWAMBA ATATAKA KUINGIA JWTZ KISA MASLAHI AU KISA KAKOSA AJIRA MTAANI AU KISA MAISHA YA KAWAIDA YAMEMSHINDA MTAANI, HAPANA ! WENGINE (NA MIMI PIA) TUNALIPENDA SANA HILI JESHI JAMANI, HATA MTU UNGEKUWA PROFESA BADO UNGEHITAJI TUU KUTUMIKIA JESHI MAANA NAFSI INAKUAMBIA HIVYO.NISAIDIE NDG !
 
Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
Hiyo njia unayoitaka wewe haipo suala zima ni kupitia JKT kwanza
 
Back
Top Bottom