Ajira ya kudumu ina heshima na security. ajira ya muda haitabiriki na haina garantii ya security. mshara unaweza kuwa mkubwa lakini si wa uhakika na siku yoyote unaweza kuachishwa kazi.ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini
taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi
taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu
je nichukue ipi na niache ipi?
Endapo hio kazi ya temporary inaendana na profession yako nakushauri nenda kaifanye , kwa maana kwamba mara baada ya mkataba kusitishwa utakua umepata experience ya kitu ulichokisomea na hivo unaweza ukapata kazi sehemu nyingine, ila kama ni tofauti kabisa na kitu ulichokisomea usisubutu kwenda kuifanya maana utakuja kujikuta mkataba unaisha na ile fani yako uliyoisomea hauna experience nayo hata kidogo hivo itakuwia ngumu sana kupata kazi, labda ujiajiri.
kila la heri ndugu
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini
taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi
taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu
je nichukue ipi na niache ipi?
yani hii ya permanent ndio iko within my career sema inakiwango kidogo sana cha mshahara ujue kabla hata sijapata hii nyingine nilikuwa najiuliza mara mbili mbili kwa nini na kuuliza kwanini mtu mwenye professional yake kwenye hiyo kazi wameamua kum lipa kiasi kidogo hivyo
ndugu kwa ufupi tu ili nisiwachoshe ni kwamba nimepigiwa simu ya kwenda kuanza kazi na taasisi mbili kwa wakati mmoja na siku moja ya kwenda ku report kazini
taasisi ya kwanza kazi yake ni ya permanent ila kiwango cha mshahara ni kidogo japo ahadi ya kuongezewa kutokana na performance nilipewa na other incentives ambazo hakuziweka wazi
taasisi ya pili kazi yake ni ya temporary ila ina kiwango cha juu cha mshahara na contract ni renewable na project inaweza kwenda hadi miaka mitatu
je nichukue ipi na niache ipi?
We jamaa una maakili meeengi hadi nakuonea wivu.mkuu., hapa kuna mambo mawili. Kama wewe unaona future yako ipo kwenye ajira. Nenda permanent job.
Watu ambao future yao ipo kwenye ajira wana sifa zifuatazo/ au wako namna hii
- ni wavivu
- siyo wabunifu
-maisha yao yote wanawaza ajira
-ni tegemezi kifikra na kiakili
wanawaza pasipo ajira hakuna maisha
hawajitumi
siyo wepesi kufanya maamuzi magumu
anaweza akajichanganya na kumwamkia bosi wake mara hata 3
wakishastafu uishi maisha ya tabu sana kwa kuwa wana akili tegemezi ya ajira na ajira ndiyo imekwisha hivyo wataanza/ataanza kuwa tegemezi kwa watoto na kulalamikia hawamsaidiii
short term employment inawafaa watu wa namna hii
1. Majasiri
2. Hawawazi kuajiriwa kwa muda mrefu
3. Wanachotafuta ni mtaji tu ili waende kujiajiri
4. Mshahara mkubwa wa wa muda mfupi unawafaa
5. Siku zote wanafikiria ujasiriamali/wanawaza kihindi zaidi
6. Wanaojituma sana hivyo kutokuwa na mawazo tegemezi
7. Hawastafu/ hata wakifika uzeeni wanaendelea kula bata.
8. They are ready to loose or to gain.
VODACOM- KAZI NI KWAKO!!!!!!!!!!!
wanakulipa sh.ngap huko temp na permane