Ni hatare mkuu, pale huwa hatungai sharubu ovyo, ngoja nimuite Asprin kwanza
Umetaja njia ya kwanza ni kwenda kupima Ngoma njia muhimu mimi naona ndo no 1.ni kumwamini Yesu Kristo wa Nazarethi kuwa bwana na Mwokozi wako atakuondolea kabisa kiu ya dhambi siyo tu uzinzi,uchoyo.usengenyaji,majivuno,kijicho,tamaa ya macho,tamaa ya mwili,usingiziaji,hila,kupokea au kutoa rushwa nk".....njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na mizigo mizito nami nitawapumzisha"
Habari wana jf, Nimekubali kwamba ukitaka kuacha uzinzi kapime hiv. Siku nimeenda kupima hiv nilikumbuka mapito yangu yote tangu utotoni.
umesema kweli. lakini hao wamwaminio na kutushauri kama wewe ndio haohao wanaotutafunia wake na mabinti zetu. Nenda pale Efatha ukamsikilize Askofu wao mkuu afu uende mahakama kuu ukasikilize kesi inayomkabili. Na kibaya zaidi waumini wake wanamtetea ile mbaya.
Umetaja njia ya kwanza ni kwenda kupima Ngoma njia muhimu mimi naona ndo no 1.ni kumwamini Yesu Kristo wa Nazarethi kuwa bwana na Mwokozi wako atakuondolea kabisa kiu ya dhambi siyo tu uzinzi,uchoyo.usengenyaji,majivuno,kijicho,tamaa ya macho,tamaa ya mwili,usingiziaji,hila,kupokea au kutoa rushwa nk".....njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na mizigo mizito nami nitawapumzisha"
Ukweli ni kuwa binadamu tumejaliwa usahaulifu. Mara baada ya kupima na kupata majibu kila mtu huapa kuacha uzinzi. Muda ukienda sana mtu hujikuta kasahau na kurudia tena.
Dawa pekee ya kuacha uzinzi kwa mwanaume ni kuikata storongo yako au kukubali uhasiwe. Baaas.

Hapo kweli nyekundu mbona hausomeki mkuu??! Weka picha labda tutakuelewa zaidi!Kama wewe ni dume, ukitaka kuacha uzinzi kata dudu yako. A tried and true method.
Hapo kwenye red???be serious bhana tafuta option ingine
Binamu kuzini ni kufanyeje?