Njia niitumiayo kubalansi shobo imenifanya niwe mpweke sana, naumia!

Habari zenu wakubwa kwa wadogo,

Nina jambo linalonisumbua kwa muda mrefu sana, kiukweli nimebaki na msimamo japo naumia moyo nishaurini jamani.

Mimi nina tatizo Moja ikitokea nipo kwenye mahusiano, yaani mpenzi wangu ikiwa mimi ndio mtu wa kupiga simu tu Kila wakati na nisipomtafuta ye hanitafuti hata siku mbili jua hapo lazima niachane nae.

Hua namuacha mwanamke hata kama nampenda, pia nilimtumia nauli pia uanze kuleta visingizio vya kutokuja ujue hio nitolee.

Hua napenda mtu tunaeendana kwa kupigiana simu na kuthaminiana.

Pia hua nachukia kama mwanamke una kipato unakua na njaa za ajabu ajabu kuomba 10000 aisee nakushusha thamani.

Hua napenda mwanamke ambae ataniomba kitu cha maana kwa mfano unaweza niambia naomba milioni 2 ili niboreshe biashara yg ndio kitu napenda, sipendi njaa njaa.
Tangazo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom