Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,777
- 10,816
Taperi huyoooFika kwa mtume bulldozer mwamposya mwenge vinyago
Ulishawahi kwenda na haukufanikiwa kwa kilichokupeleka share nasi ilikuajeTaperi huyooo
biashara ya bar inafunction imani?Kwanza sali kwa imani unayoiamini, pili toa sadaka i.e. kikumi tatu dili na hao wafanyakazi wa kwenye biashara yako nne lete mrejesho
biashara ya bar unamwaga maji ya baraka? si utafukuza wateja wote? nakushauri tafta wahudumu wadada warembo halafu usiache kuniletea mrejeshoBiashara ya Bar na Jiko la chakula
Biashara ya Bar na Jiko la chakula
Haina haja ila tambua huyo ni taperi mkubwaUlishawahi kwenda na haukufanikiwa kwa kilichokupeleka share nasi ilikuaje
Jambazi mwenyewe akienda kuiba anamuomba Mungu amsaidie asikamatwe biashara ya bar kitu gani? Biashara yoyote ile ni imanibiashara ya bar inafunction imani?
kwa hiyo mungu huwa anamrahisishia mazingira jambazi anaesali ili asikamatwe?Jambazi mwenyewe akienda kuiba anamuomba Mungu amsaidie asikamatwe biashara ya bar kitu gani? Biashara yoyote ile ni imani
Tumia chumvi ya mabonge , mwaga kuzunguka biashara huku ukinuiziaHabari Zenu,
Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..
Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.
Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.
Natanguliza shukran
Unasema wewe ni MKRISTO,then naona wazi umefanya uchawi mara mbili (maana umetumia huyo anaitwa kitimoto+mkaa,then maji ya baraka),Habari Zenu,
Nahitaj kujua njia za Asili za kuzindika Biashara bila kwenda kwa waganga..
Biashara ilisimama vizur kwa miez miwil nyuma ila gafla hela ikawa inapotea, tukaweka mfupa wa kitimoto na mkaa, hela tukaiona ila wateja wakapungua kwa asilimia 75. tunahis kuna kitu.
Tutaweka maji ya baraka jumapili, kwasababu mm ni mkristo, je ukiacha hiyo njia nn kingne kinatakiwa kifanyike? cha asili.
Natanguliza shukran
Mtume?,Fika kwa mtume bulldozer mwamposya mwenge vinyago
Tatizo mmekariri haya Maji unayouziwa kwa chupa shilingi Lakimoja mwingine Milioni mwingine elfu moja yaani eti utabarikiwa kutokana na Maji umenunua ya Sh ngapi?Unasema wewe ni MKRISTO,then naona wazi umefanya uchawi mara mbili (maana umetumia huyo anaitwa kitimoto+mkaa,then maji ya baraka),
NASEMA WAZI KITU KINAITWA MAJU YA BARAKA NI UCHAWI NA NI BIASHARA YA HAO WACHAWI YAANI WANAOYAUZA AU KUKUPA,
Kuna njia MOJA TU ya asili,YAANI KUMTEGEMEA MUNGU TU WALA SI AKILI ZA MEMBER WA JF;
mithali 3:5
Tatizo mmekariri haya Maji unayouziwa kwa chupa shilingi Lakimoja mwingine Milioni mwingine elfu moja yaani eti utabarikiwa kutokana na Maji umenunua ya Sh ngapi?
Kwetu wakatoliki hizo hakuna Maji unapewa bure na ukiyatumia vizuri kwa imani hakika utaona matokeo.
Ila sio haya Maji ya manabii
Umesema bar, hujui walevi wanahitaji nini? Mweke Hamisa Mobetto hapo mji wote watahamia hapo.Habari Zenu,