Njia hii Sio ya Ikulu ni ya kuzimu!

Njia hii Sio ya Ikulu ni ya kuzimu!

Kupitia Home Shopping Centre Pekee Mmetengeneza Kiasi gani? CCM mnahangaika sana lakini mwisho wa siku lazima mtang'olewa tu coming 25th October 2015
 
ni nahis ametambua alichokifanya kashakitumia na sasa anataka akirudishe kwa wa TZ kwan aliiba katika mfumo wa kuazima so tumpee tuu aturudishie mali zetu.
 
Sababu ya kuiondoa CCM madarakani ni kurudisha nchi kwa wananchi tukimaanisha kuwa wananchi waanze kujiamini kuwa wanaweza kuadhibu chama chochote kile kitakachokuwa madarakani. Hapo ndipo tutakapopata mafanikio hakuna muujiza mwingine!

Kwa hiyo ndiyo kisa mtuzamishe kuzimu?
 
Walikuwa wanamzushia kumiliki Ranchi yenye maelfu ya ngombe nchini,lowasa aliposema kuwa wananchi watakaposikia tena kwenye majukwaa ccm wanadai hiyo Ranchi ni yake akawaambia wananchi wakagawane hao ng'ombe,hiyo hoja ilipotea gafla,lowasa hana wa kumzuia asiingie ikulu,wenye nchi wameshaamua

Hao wananchi wanaofurika huku na huku utawajua kama wana akili tofauti na zako baada ya siku 4 tu hivyo usikonde kabisa. Pima malaria na presha kabisa
 
Acha kuropoka ww huyO MAPADLOCK mgombea wako alipokuwa NyanzA UNA DATA ZAKE WW! UKIJUA HUKU WENZIO WANAJUA KULE.hAYA MWAGA ZA MAPADLOCK ALIPOKUWA NYANZA BAADA YA KUTOKA SENGEREMA SEKONDARI.UNAUNGAUNGA VITU UNALETA KWA WANAUME
 
tutamchagua hivyo hivyo, kwan hao ambao sio wezi wamefanya nini?
 
Mumeula wa chuya kama Lowassa alikuwa mwizi kwanini hamkumfunga?wananchi tumeamuwa kumfunga gereza la Ikulu atutumikie ninyi ndio mnakurupuka Lowassa mwizi,tutaanzisha mahakama ya kuyafunga majizi,siku zote mulikuwa wapi?.

Wananchi gani wameamua,? Sema nyie wavivu wakufikir na kuchanganua mambo mnaopelekwa kwa nguvu ya viroba ndo mmeamua, kwakuwa tupo wote subiri uone kama magu hataingia ikulu tena kiulaini kabisaaa
 
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHI YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA kUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.

Nashukuru kwa kuendelea kuwavua nguo viongozi wetu,Kama alijulikana kuwa in mwizi tangu akiwa sekondari na kupelekea kuandikwa kwenye black book kama unavyotaka kutuaminisha,ilikuwaje mtu huyu ambae ni mwizi,aaminiwe na serikali zote tangu ile ya awamu ya 1 hadi hii ya 4?Huu ni upumbavu uliokubuhu,bandiko lako lingekuwa na maana kama ungeenda kulibandika kwenye kuta za Lumumba na kuwaomba wakupe majibu ya kwa nini serikali zote zilizopita chini ya chama chenu,zilimkubatia huyu unayetuaminisha kuwa ni mwizi?Serikali yako sikivu sana bado hadi leo inailipa kampuni ya Richmond iliyovikwa koti jipya la Symbion,je huoni kama ni ufisadi utakuwa umepewa BARAKA na wapangaji wa ikulu yetu ya magogoni?Amka ujitegemee,acha kuishi kwa kutegemea kulamba visigino vya watawala.Unaowaona wasafi walituibia hadi wakapitiliza,walidiriki hadi kufanya biashara ikulu kwa kujimilikisha kiwila kupitia kampuni ya ANBEN,ila kwa upumbavu wako huyaoni hayo.Laiti ungelijuwa makampuni yanayomilikiwa na viongozi waliopo madarakani pamoja na familia zao,usingeendelea kuwa mfuta VIATU wa watawala.Kila tulichojaliwa na Mungu hakijawahi kuwa BARAKA kwa Taifa,au hujasikia kuwa Mchina kamilikishwa gesi asilia bure kwa miaka saba?Siku utakapoacha kufikiri kwa tumbo,ndipo utakapogundua kwa mini tunahitaji mabadiliko ya kimfumo,acha upumbavu.
 
Lowas Ataingia Ikulu Na Wewe Na wenzako Wa Lumumba Mtajificha Kwa Aibu,Lione Kwanza!
 
Pia nasikia kuna mgombea aliwahi kufukuzwa seminari baada ya kufanya uwizi, mtafiti wetu KISESERA unaweza kutusaidia kutafiti na hilo.
 
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHI YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA kUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.
Wewe una akili nyingi sana inabidi tupime IQ yako.
 
sababu ya kuondoka ccm ni uroho wa madaraka ndo maana kahonga mapesa ili apate nafas ndan ya wk tu toka alipohamia inamaana alikuwa na sifa zip kuwazid lipumbana slaa
 
Mgombea mwenyewe ana watoto kadhaa!!! Sasa hapo watanzania tutegemee nini ? Mleta mada kama wewe ni SHEMEJI wa magu pole sana.
 
Kama una ushahidi mahakama ipo kwa ajili yako...
 
Back
Top Bottom