Njia hii Sio ya Ikulu ni ya kuzimu!

Njia hii Sio ya Ikulu ni ya kuzimu!

KISESERA

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
86
Reaction score
38
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHI YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA kUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.
 
MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHIH YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA LUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.

nadhani huo moto uanze kukuchoma wewe!!! nasema laana haitakukosa wewe
 
​ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea ikulu kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - akiwa shule ya sekondari mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (storekeeper) hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (black book) milambo sekondari

1977 - alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa mzee rashid kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa arusha (aicc), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (kwa sasa amewapangishia ubalozi wa afrika kusini) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika mashariki zinazofahamika kama shelaton. Hapa mwalimu nyerere alimshangaa akimwambia "nimekuwa rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- akiwa mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - ujenzi wa ofisi za mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya bilion 650

huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia serikali ya scotland ikitoa taarifa kuwa kuna mtanzania anayemiliki zaidi ya pound 400, 000, 000/= (zaidi ya trilion 1.32 tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya tsh miioni 120 kwa siku

mtu huyu anaitwa ndg. Edward lowassa ambaye leo anataka kuwa rais wa nchi. Sasa je, hii ndio njia sahihih ya yeye kufika ikulu? Kama sivyo basi dhambi zote hizi zatampa njia nzuri ya lufika motoni akachomwe milele.

its toolate.
 
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHIH YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA LUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.

Puuuuuuuu, mwaka huu hamchomoki kudadadeki, tulia hivyo hivyo yamebaki masaa tu muone hasira wa wenye nchi.
 
Mbona ukugusia huyu aliyeonga nyumba za serikali hawala? Hebu kasome report ya CAG utuletee na details zake,viva lowas
 
hakika watanzania wanaposema kuwa huyu jamaa hafai kuchukua dola kumbe kweli panayo sababu na kwa hilo hafai tena hata kidogo
 
Mumeula wa chuya kama Lowassa alikuwa mwizi kwanini hamkumfunga?wananchi tumeamuwa kumfunga gereza la Ikulu atutumikie ninyi ndio mnakurupuka Lowassa mwizi,tutaanzisha mahakama ya kuyafunga majizi,siku zote mulikuwa wapi?.
 
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHIH YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA LUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.

RAis Ni Lowassa
 
Yaani huwa sipendi kusoma mavitu mareefu yasiyokuwa na tija!
 
Walikuwa wanamzushia kumiliki Ranchi yenye maelfu ya ngombe nchini,lowasa aliposema kuwa wananchi watakaposikia tena kwenye majukwaa ccm wanadai hiyo Ranchi ni yake akawaambia wananchi wakagawane hao ng'ombe,hiyo hoja ilipotea gafla,lowasa hana wa kumzuia asiingie ikulu,wenye nchi wameshaamua
 
Hayo mambo mbona yanaongelewa leo? Mbona hajashtakiwa? Kama ni mwizi na hajashtakiwa basi CCM wote ni wezi. Hivyo tumeamua kumpa huyu huyu Lowassa. Hata mseme nini huyu ndiye anafaa. Tunampa miaka 5 anayotaka tuone mabadiliko aliyoyaahidi kwani wengine wameshindwa kabisa!
 
hakika watanzania wanaposema kuwa huyu jamaa hafai kuchukua dola kumbe kweli panayo sababu na kwa hilo hafai tena hata kidogo

Lowassa alishawashinda zamani subiri tarehe 25 muone wananchi tunavyompa adhabu ya kumpeleka Ikulu akatutumikie kama punda mbeba mzigo.
 
Sababu ya kuiondoa CCM madarakani ni kurudisha nchi kwa wananchi tukimaanisha kuwa wananchi waanze kujiamini kuwa wanaweza kuadhibu chama chochote kile kitakachokuwa madarakani. Hapo ndipo tutakapopata mafanikio hakuna muujiza mwingine!
 
​Ili ufike mahala fulani unahitaji kupita njia iliyosahihi ndipo utafika ulipodhamiria kufika ama ulipotumwa kufika. Hivi karibuni nimekuwa nikiwafuatilia wagombea urais kwa ukaribu sana kujua undani wao kila mmoja. Mmoja ya wagombea nimepata kufuatilia mapito yake toka alipotoka mpaka sasa ikabidi nijiulize kwa mapito haya huyu anelekea IKULU kweli? Hebu tufuatilie njia hii mwisho tujue huyu anaelekea wapi..

1973 - Akiwa Shule ya sekondari Mirambo alibahatika kuwa mtunza vifaa vya shule (Storekeeper) Hapa alijikuta katika adhabu mara kwa mara kwa makosa ya kuuza vifaa ili kujipatia fedha vya shule na baadhi kuhonga, jambo lililomfanya kuingizwa katika kitabu cha wanafunzi watukutu (BLACK BOOK) Milambo Sekondari

1977 - Alibahatika kuajiriwa na chama chake katika ofisi ndogo za Lumumba, ilizuka tafrani ambayo chama kililazimika kuizima pale baba yake mzazi alipokuja kushitaki kwa Mzee Rashid Kawawa kuwa mwanae ameiba n'gombe zaidi ya 100 nyumbani

1990- Hapa sasa akiwa na uwezo mkubwa kifedha, aliweza kupenyeza na kuwa Mkurugenzi mtendaji kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha (AICC), kama kawaida yake aliendelea kutengeza njia yake ambapo alifanya ubadhirifu wa hali ya juu kiasi cha kufanya ukumbi huo kuwa katika hali mbaya kiuchumi. Na baada ya hapo ndipo alipojikunjua utajiri wake kwa kujenga jengo la kifahari (Kwa sasa amewapangishia UBALOZI WA AFRIKA KUSINI) kufika mwaka 1995 zaidi alianza kujenga hoteli za kifahari za kimataifa katika nchi za afrika Mashariki zinazofahamika kama Shelaton. Hapa Mwalimu Nyerere alimshangaa akimwambia "Nimekuwa Rais miaka 24 lakini sina utajiri kama wako, wewe umeupata wapi?"

2002- Akiwa Mbunge alijikusanyia fedha za maendeleo ya jimbo kiasi cha Bilioni 45 bila ya wasiwasi akiendelea kujenga njia yake

2004 - Ujenzi wa ofisi za Mbunge, kama kawaida yake hapa napo aliacha kituko cha kibepari ambapo aliweza kujipenyezea zaidi ya (Ilihali mpaka leo ofisi hizo hazijajengwa) Akiwa kama miongoni mwa wanashare wa kampuni ya mawasiliano ya simu Vodacom aliweza kujipigia tena zaidi ya BILION 650

Huyuhuyu alitumia nafasi yake aliyokuwa nayo serikalini, alijibinafsishia ranchi tatu zilizopo Monduli zilizokuwa zikimilikiwa na serikali na wananchi.

Muda sio Mrefu kutoka hapo tulishtushwa kusikia Serikali ya Scotland ikitoa taarifa kuwa kuna Mtanzania anayemiliki zaidi ya Pound 400, 000, 000/= (Zaidi ya trilion 1.32 Tsh) akitaka kuziingiza nchini humo. Serikali ya Tanzania ilijitahidi kufuatilia japo ilikuwa imeshachelewa bwana huyu amekuwa akitengeneza njia hii hata pale alipopata nafsi kubwa na nyeti kabisa serikalini ambapo aliweza kutumia nafasi yake kupitia upungufu wa umeme uliokuwepo nchini ambapo alindelea kujenga njia yake, bila ya kujali taifa ambapo hapa nchi ililazimika kuingia gharama kwa kulipa zaidi ya Tsh Miioni 120 kwa siku

MTU HUYU ANAITWA NDG. EDWARD LOWASSA AMBAYE LEO ANATAKA KUWA RAIS WA NCHI. SASA JE, HII NDIO NJIA SAHIHI YA YEYE KUFIKA IKULU? KAMA SIVYO BASI DHAMBI ZOTE HIZI ZATAMPA NJIA NZURI YA kUFIKA MOTONI AKACHOMWE MILELE.

Eti anataka kubadilisha ila yeye hatobadilika
 
Sababu ya kuiondoa CCM madarakani ni kurudisha nchi kwa wananchi tukimaanisha kuwa wananchi waanze kujiamini kuwa wanaweza kuadhibu chama chochote kile kitakachokuwa madarakani. Hapo ndipo tutakapopata mafanikio hakuna muujiza mwingine!

Sababu ya kumuweka fisadi madarakani ni ipi basi?
 
Shida ni kwamba kwakuwa amekwenda upinzani ametuachia ccm yetu.hata huyu tuliyenae akiamua kwenda upinzani nae tutampa yakwake tuacheni hizo.
 
Back
Top Bottom