Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,361
- 4,816
Takwimu mpya zinaonesha idadi ya wakimbizi wanaoingia katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa njia haramu mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 46 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Hayo yameibuliwa katika ripoti ya Halmashauri ya Umoja wa Ulaya. Njia nyingi haramu ziliundwa kwa kuingilia Ugiriki na makundi makubwa ya wakimbizi yalikuwa kutoka Afghanistan.
Katika makubaliano ya Umoja wa Ulaya na Uturuki ya mwaka 2016, Uturuki ilipaswa kuimarisha ulinzi wa mipaka yake, katika namna ya kudhibiti wahamiaji wasiweze kuingia tena kinyume cha sheria. Kwa zingatio la makubaliano hayo Uturuki ilipaswa kupewa kiasi cha euro bilioni sita ili kuwa na uangalizi wa karibu kwa wakimbizi.