Sawa madam[emoji40]Hudhuria darasani
Msome kila lecturer anatakaje
Usisubiri hadi UE au test ndipo usome soma kila mara
Hakikisha kazi za vikundi na binafsi unafanya vizuri na course work zako zianzie 75% ya alama zote
Hakikisha unaelewa mada zaidi kuliko kukariri
Tafuta mifano halisi wakati wa mitihani kwenye masomo ya maelezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa madam[emoji40]
RubiiKimimi[emoji85]
Nipo maa nakulelea mke mwenzio[emoji12]Upo?
Nipo maa nakulelea mke mwenzio[emoji12]
RubiiKimimi[emoji85]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kimya kimya hebu njoo kuleeer