mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,432
- 2,892
Mzee mwenye kasumba zake.Habari za asubuhi.
Wahenga walishasemaga... Ni kosa kubwa kukosea kuoa. Heri ukose kitu kingine kuliko kukosea kupata mwenza.
Sasa kwa wale tulokwisha kukosea Ni nji gani tutumie kuweka maisha yawe sawa?
Nawakilisha.
Ndoa ina miaka mitatu na miezi 8. Watoto wawili, maisha ya kawaida ya kulala na kuamka tu (maisha ya mtanzania wa kawaida asiye hata na baiskeli)Marekebisho yanategemea hatua mliyopo, kwa mfano raslimali mlizonazo, idadi ya watoto, changamoto mlizonazo, aina ya ndoa n.k
Swadakta kabisaaKama ndoa ya mkeka bado hujakosea, ongeza mwingine
Mambo Ni fayaa babaTeh teh teh teeeeh!!
Kwanini unahisi ulikosea kuoa?
Weekend yako unatumia kinywaji gani?Kama ndoa ya mkeka bado hujakosea, ongeza mwingine
PmWeekend yako unatumia kinywaji gani?
Weka namba yako.
Na bado unadhani umekosea?ulipata unachostahili.(kulala na kuamka)Ndoa ina miaka mitatu na miezi 8. Watoto wawili, maisha ya kawaida ya kulala na kuamka tu (maisha ya mtanzania wa kawaida asiye hata na baiskeli)
Sina gharama natumia maziwa tuWeekend yako unatumia kinywaji gani?
Weka namba yako.
nunua arvs uanze dozi hapo nyumbani