ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 950 Aug 11, 2014 #1 Wadau, kuna jamaa yangu anataka kunitumia parcel toka UK. Nilitaka kufahamu njia gani salama na ya uhakika ya kutuma mzigo kwa hapa TZ manake kuna wakati jaama walinitumia Posta wakafungua na kuchakachua baadhi ya mizigo. Nitashukuru kwa ushirikiano
Wadau, kuna jamaa yangu anataka kunitumia parcel toka UK. Nilitaka kufahamu njia gani salama na ya uhakika ya kutuma mzigo kwa hapa TZ manake kuna wakati jaama walinitumia Posta wakafungua na kuchakachua baadhi ya mizigo. Nitashukuru kwa ushirikiano
P papa yna Member Joined Jun 21, 2014 Posts 55 Reaction score 16 Aug 11, 2014 #2 wakafungua!! dah!!! uwiii!!
F Felix JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 903 Reaction score 797 Aug 11, 2014 #3 Jaribu DHL mkuu
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,141 Reaction score 950 Aug 12, 2014 Thread starter #4 papa yna said: wakafungua!! dah!!! uwiii!! Click to expand... Yes ..Bongo si salama..hata wakiambiwa " huyu anaumwa " wanamfunua...
papa yna said: wakafungua!! dah!!! uwiii!! Click to expand... Yes ..Bongo si salama..hata wakiambiwa " huyu anaumwa " wanamfunua...