Kauli sio rafiki akipata na matatizo yanaongezekaAkipata atakupa mvumilie hadi 2026 hali ilivyo si unaiona mkuu.
For sure [emoji817]Kudai Deni ni mtihani mkubwa sanaa...
Kuna Watu itokee tu ila hana njia utatumia kukunjua moyo wake.
Utumie lugha ya busara olaa..
Utumie mlango wa dini olaaa,
Utumie biti olaaa,
Umtishie kipira olaaa,
Utumie ubabe olaaa...
Na usiombee Mdeni wako ajue kama huna pa kushikiaaa...
Kurudisha Deni ni busara na shukrani za mtu, kitu ambacho wengi tumekosa.
Nimemfuata kiustarabu imeshindikana, nimemfuata kiukali lkn wap, nimeongea na watu wake wa karibu pamoja na familiya yake nimeambulia patupu, nikamtishia kumpeleka mahakamani akasema hatukuandikishiana popote hamna shahidi, sasa jamani nitumie njia gan nyingine nilipwe deni langu? Naombeni ushauri
Hii njia ya kwanza lazima ntaitumiaZipo njia mbili na ngumu kidogo mie niliona zimefanikisha kwangu,nenda kwake kakae sebulen usindoke hd amekupa chako kaa hapo,kula hapo mda wote mkewe akuone upo ht km ni wiki mbili kaa hapo,pili fanya upelelezi ujue siku yupo nyumban esp jumapili asbh ya saa nne anzia mtaa pili vua nguo watu wakianza kukufuata kwa wingi tembea hadi kwake zama ndani hutoki humo hadi ulipwe,km utaweza fanya hivo