Njia bora kabisa ya kukijua kingereza ni kuangalia movies zenye subtitles

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,954
46,006
Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
 
Concubine :- kuna riwaya ya kiingereza inaitwa hivyo kwa waliosoma hapa Tanzania somo la literature.


Njia nzuri na rahisi ya kujua kiingereza kuwa msomaji wa vitabu na soma vitabu ambavyo ni none-fictional .

Faida zake utapata personal growth ,na kiingereza utajua kwa haraka.

Kuangalia movies pia kiingereza utajua Ila hautaweza kupata Content za kukujenga kichwani
 
Asante sana mkuu
 
Mimi pia naamini katika usomaji wa vitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…