Wanawake wengi siku hizi asilimia 90% hawana upendo Unique FlowerMwanamke ni yule anayekupenda Kwa dhati na mmepatana tu ju Kwa ju.
Mwanamke ambaye yupo hivi haijalishii uhuru wake . Ndio amekupenda
1. Anakusikiliza
2.Anakujali
3.Anakuvumilia
4.Anakupa mawazo chanya hakupi stress huyo ndio mwanamke
Hajaingia ndani kabisa kwako mwaminishe yupo mwenyewe . Utaona , naumwambie ukweli kuwa hupendi anavyokaa kimyaa niliwahi mwaminisha mtu mambo yakaka sawa ila ukweli mtu akikupenda anakutafuta piaJe, yule anaye fanya hayo yote alafu hakutafuti mpaka wewe uanze wa kwanza kumtafuta imekaaje hapo?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu nyie mkipendwa mnatutesa so nibora tu kuwa after money tu. Yaani hamna shukurani mtu anajitoa mwisho wasiku anaolewa mwingineWanawake wengi siku hizi asilimia 90% hawana upendo Unique Flower