Njama za kuondoa kipa wa Simba sc Aishi Manula zimefanikiwa kwa asilimia 70

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,295
12,790
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.

Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa na bwana Ally Salim kipindi hicho Ayub yupo bench akimshuhudia bwana mdogo anafanya maajabu.

Ngao Ya hisani bwana mdogo alionesha uwezo wa hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililomleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power Dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokuwa ana kiwango kikubwa/sawa na Ayub.

1703242514175.jpg
 
Ngao Ya nisani bwana mdogo alionesha uwezo wa Hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililo mleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokua anakiwango kikubwa/sawa na Ayub.

View attachment 2849771
Hii itamuathiri Manula hata kwenye timu ya taifa, kwa sasa Kawawa ndiyo litakuwa chaguzi namba moja Taifa Stars.
 
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.

Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa na bwana Ally Salim kipindi hicho Ayub yupo bench akimshuhudia bwana mdogo anafanya maajabu.

Ngao Ya nisani bwana mdogo alionesha uwezo wa Hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililo mleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokua anakiwango kikubwa/sawa na Ayub.

View attachment 2849771
Ayoub alitoka morroco kuja tanzania kuanzia hali ya hewa, lugha, chakula kuijua timu yake mpya na wachezaji wake kujua tabia zao wanapokuwa uwanjani.

Hivyo vyote alihitaji muda ili avizoee na sasa amevizoea na anaonesha uwezo wake uwanjani.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kwani kabla Ayub golini alikua anakaa Nani ??
 
Kitu ambacho nakiona kwa Simba wanajaribu kuanza upya Kwa kuwaweka pambeni wale wote ambao inaonyesha Wana nguvu ni kama Yanga walivyofanya na sasa wanafurahia matunda
 
Wazee wa ten percent waliomleta kipa Ayub wamefanikiwa kwa asilimia 70 na wameziteka hisia za mashabiki na kufanya wamsahau bwana mdogo Ally Salim.

Kwani anachokifanya Sasa Ayub Lagreb kilifanywa na bwana Ally Salim kipindi hicho Ayub yupo bench akimshuhudia bwana mdogo anafanya maajabu.

Ngao Ya hisani bwana mdogo alionesha uwezo wa hali ya juu wa kupangua penati za akina Yao, Pakome n.k ilipelekea mpaka Simba nao wakapata taji la kufutia machozi.

Kundi lililomleta Ayub Lagreb baada kuona Ayubu anafungwa magoli ya kizembe kwenye mchezo wa kimataifa wa Power Dynamo, na kelele za Mashabiki nikiwemo na Mimi NALIA NGWENA walishituka na kuona kwenye Derby Bora wamchezeshe Aish Manula ambaye hana match fitness kabisa ili kuficha aibu ya Ayub Lagreb.

Kweli misheni ilifanikiwa kwa 100% Hakuna shabiki wa Simba sc anayemtaka Aish Manula kila wakikumbuka kichapo Cha goli tano kwa moja.

Ikumbukwe Ayub Lagreb kaletwa Simba sc kwa pesa kubwa na mshahara wake ni mkubwa na wazee wa ten percent wananufaika ni ngumu kwa Sasa kucheza Bwana Mdogo Ally Salimu japokuwa ana kiwango kikubwa/sawa na Ayub.

View attachment 2849771

Nyuzi nyingine unaletaga ni pointless kabisaa
Kwa kuanza tu Ally Salum hafiki kiwango cha Ayubu hata robo
Ni vile mpira wa bongo siasa nyingi lkn km Benchikha 100% ana full control ya wachezaji basi Ally Salum atasubiri mechi za awali za Azam federations
 
UNAONGELEA USHABIKI NA SIYO TALANTA CHA BWANA MDOGO.
 
Back
Top Bottom