Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
Ukiwa mtu makini tu ndo utaelewa, wewe si ndo wale wenye akili ndogo????Story za vijiweni...
Ukiwa mtu makini tu ndo utaelewa, wewe si ndo wale wenye akili ndogo????
Story za vijiweni...
Ooooh Come on F..U..C...K...... U......
Jana ulikaribishwa kitchen party ya nani?
no, yale yaliyo ya ukweli lazima tuyaseme ili kulilinda taifa hili.jonathan1983 ,wenzenu taranta wanazitumia ipasavyo, watu kama wewe unatumia kupiga majungu ya kisiasa.
Kajiandikishe kwenye kampuni ya uigizaji upate value for money kwenye hii taranta yako.
Kwa hali ya sasa inavyoonekana haupo mbali na ukweli ila wakigundua issue imevuja watakushambulia subiri wanakuja
Bavicha boy in action...
Taifa halilindwi na stori ya kitchen party.no, yale yaliyo ya ukweli lazima tuyaseme ili kulilinda taifa hili.
Siku nikijikuta nawaza kiccm na kuonekana nakula kiccm basi sina tofauti na Maskini aliyefilisika upya!!!!? Akili ndogo hawajaanza kusumbua leo walianza toka Darasani kwa kuwa vinara wa usumbufu.Kumbe mleta mada mwenyewe una akili za bavicha!!!
Na wewe unawasiliana na mungu siku hizi?Hata mimi nakuunga mkona, mleta mada hayupo mbali na ukweli, japo wasiopenda kusikia wanambeza, lakini wanaopenda kusikia nadhani wamepata ujumbe. Lakini pia binadamu huwa tuna undermine sana nguvu za Mungu, CCM wajue kama Mungu ameshapanga hata wafanye nini hawatafanikiwa, kwanza ndio wanazidi kumuuzi Mwenyezi Mungu zaidi.