Njaa itawafanya CHADEMA washiriki Uchaguzi chini NEC hii

Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Ingependeza kama ungeelezea kwa kina njaa waliyonayo Mbowe na wenzake, weka hoja yako sawa, umesema wana njaa unamaanisha unajua vzr sana inner circle yao bas tueleze kwa undani njaa waliyonayo na nn kimefanya mpaka uone wana njaa.
 
Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.
 
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha
Kampikie mumeo wewe achana na Chadema
 
Chadema punguzeni kumtesa huyu kijana jaman hadi 2025 atakuwa na mvi
 
MATAGA mnahaha. Mliingizwa mkenge na Mwendazake kuwa atadumu milele, kaondoka, kawaacha yatima, hamna pa kushikilia. Mtaisoma namba
Duh!

Nikifikiri hapa Jf wanaoweza kutoa coment ya aina hii ni kina mmawia pekee, kumbe nilikuwa nakosea!
 
Ndugu zangu,

Sioni dalili ya Tume ya uchaguzi kubadilika kimfumo kama ambavyo wanashinikiza.

Ila niaiona njaa ikisababisha Mbowe na wenzie kutafuta kisingizio cha kujirudisha na kuhalalisha mbele ya makamanda kushiriki uchaguzi.Sioni "makamanda" wenye uwezo wa kuhoji Bali watasujudu na kuanza kumsifia mitandaoni.

Watatukana na kukejeli lakini ukweli ni kuwa watarudi kushiriki uchaguzi kwa sababu za njaa.

Muda utathibitisha

Ukitaka kujua uchaguzi hapa Tanzania umepuuzwa, pitia social media zote uone kama kuna popote kuna matokeo rasmi ya huu uchafu wa juzi uitwao uchaguzi. Ingia kwenye tovuti ya tume huko ndio aibu ya karne. Matokeo yaliyowekwa ni ya jimbo moja, nayo yana maelezo duni na kujichanganya, idadi ya wapiga kura iliyojitokeza ni ya kupika, idadi ya vyama vya siasa vilivyoshiriki ni ya kupika. Ukimsikiliza Zito, kwa aibu hataji idadi ya kura alizopata, bali anataja % maana baada ya kuvuta mpunga, inabidi wakae na ccm ili wapike idadi ya wapiga kura. Je katika uchaguzi huu umeona popote picha za misururu ya wapiga kura, maana picha za wakati wa kampeni zipo, mbona hakuna za siku ya kupiga kura?

Kama ni njaa cdm walitakiwa iwe imeshawapata na waamue kushiriki huo uchafuzi, mbona hawakujitokezi kushiriki huo ushenzi? Na hata kama cdm wao kama chama wataamua kushiriki bila kuwa na tume huru ya uchaguzi, bado sisi wananchi hatutajitokeza kushiriki huo upuuzi. Bila machafuko hakuna mabadiliko yoyote yatatokea, na kwa hali ilivyo ccm imeshachoka kushindana kisiasa, bali wanaona aibu kushindwa, na kuna viongozi waliokula na kusaza kwa wizi, wanaogopa chama kingine kikiingia madarakani wataishia jela. Hivyo kundi hili ndilo limeingiza, ndugu, jamaa na marafiki kwenye mlo, na wana makubaliano ya kutoachia madaraka kwa amani.
 
Tatizo lako unataka uone mjadala wa kejeli,watu wameshiriki kistaarabu kwenye majimbo yao

Kuweka matokeo rasmi ya uchaguzi ni mjadala wa kejeli? Ingia tovuti ya tume ukaone kilichowekwa, na kilichotokea kwenye ule uchaguzi wa juzi. Je huko kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi nako kuna kejeli gani?
 
Back
Top Bottom