Mkuu umenifurahisha sana hapo uliposema anamuaga boss wake anayemuweka mjini.Mkuu wa mkoa wa Dodoma akimuaga boss wake anaemuweka mjiniunamsujudiaje binadam mwenzako!!!
Tanzania ya sasa hakuna,na hatokuwepo wakuyafuata maneno haya maana wote wanayatumikia matumbo yao.![]()
kweli kabisa mura, simu zimetuzidi akili, bora turudi kwenye stone age tukaanze upya, huenda tukajua ni wapi tulipo jikwaa na wapi tulipo angukia.
kweli kabisa mura, simu zimetuzidi akili, bora turudi kwenye stone age tukaanze upya, huenda tukajua ni wapi tulipo jikwaa na wapi tulipo angukia.
viongozi kama hawa hata akiambiwa wavue nguo watatiiMkuu wa mkoa wa Dodoma akimuaga boss wake anaemuweka mjiniunamsujudiaje binadam mwenzako!!!
Tanzania ya sasa hakuna,na hatokuwepo wakuyafuata maneno haya maana wote wanayatumikia matumbo yao.![]()
Hasa pale anapoishikilia mtu mwenye visasi na asie na vision.huyo mkuu wa mkoa kwa uwoga anaounyesha hapo hata ktk mkoa wake wafe watu kumi kwa njaa na ithibitike kitaalamu kwamba wamekufa kwa njaa atakuwa radhi kutangaza tofauti na hivyo maana atakuwa na nidhamu ya uwoga na kujipendekeza kwa rais ili aonekane bora.ujinga kabisa.Kuna wakati nawaza hii nafasi ya urais bora tusingekuwanayo.