Wakuu habari za muda huu? Nataka kununua Tv lakini sijui nizingatie nini katika kununua, ukizingatia sijawahi kununua Tv kabla.
Pia naomba tofauti kati ya android na smart Tv ipi ni bora kwa uzoefu wenu?
Na pia nichukue brand gani ambayo ni nzuri? Quote