Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,201
- 138,562
😅Weka hapo banda la kuku ....Yes nafasi si kubwa?
Weka ila kila baada ya miaka 5 unabadilisha ili usilichokeBafu la Master Bedroom lina nafasi ya kutosha. Ninaweza kuweka kila muhimu ikiwemo sehemu ya mashine ya kufulia nguo.
Moyo unaniambia niweke Jacuzzi, akili inaniambia acha ufahari, utafanyia nini cha maana?
Hebu tushauriane hapa wakuu
Kumbee, basi mi bibiangu alikuwa nalo akaling’oa 😆Hii nilimwekea mama yangu mzazi alikua ana matatizo ya mgongo kuuma , ilimsadia sana kurelax , hivyo sio ufahari ni matibu na pia inasaidia kupunguza msongo wa mawazo.
Picha ya chumba cha bafu ama jacuzzi lenyewe?Bila picha hatuwez eleza tuna imagine tu
Wewe msukuma hapa hatuzungumzii JOSHI la kuogeshea ng'ombe ,sawaa.Kumbee, basi mi bibiangu alikuwa nalo akaling’oa 😆
Jamani kwamba sielewi jacuzzi ni nini😅Wewe msukuma hapa hatuzungumzii JOSHI la kuogeshea ng'ombe ,sawaa.
Sasa huko kwenu Buhingo ndani ndani kuna majacuzzi gani zaidi ya majoshi ya kuogeshea ng'ombe?Jamani kwamba sielewi jacuzzi ni nini😅
Kwakweli hakuna huku tunaoga visimani🤦🏽♀️Sasa huko kwenu Buhingo ndani ndani kuna majacuzzi gani zaidi ya majoshi ya kuogeshea ng'ombe?
Wewe utakua mtu wq kanda ya ziwa,hii Buhingo iliyoko Kwimba umeijuaje?Sasa huko kwenu Buhingo ndani ndani kuna majacuzzi gani zaidi ya majoshi ya kuogeshea ng'ombe?
Ufahari? 🤣🤣 Big Nooooo.
Kama hutojali Hilo Bafu kiujumla ni Ngapi kwa ngapi katika mita.
Kumbe kwao halafu ananihusisha mimi🙄Wewe utakua mtu wq kanda ya ziwa,hii Buhingo iliyoko Kwimba umeijuaje?