mgosimtata
Member
- Jul 5, 2014
- 35
- 5
Msaidie binti acha utoto....
wewe mwenyewe umeishia darasa la ngapi au ni haraka ya uandishi tu.?
Msaidie rafiki yako,kwani unajua sababu iliyomfanya aitelekeze mimba....!?
Binafsi cshabikii upande wowote ktk apo na kwa upande wa darasa may b nmekuacha paref
Wakutanishe na umuelekeze binti anapokaa huyo jamaa baada ya hapo waache wenyewe
Kwa uandishi huu nani umuache parefu..?
Sasa kama hushabikii upande wowote ule mada hii inalenga nini?
Au hukijui ukifanyacho?
kuna rafik ang alkua na mpenz wake kipnd yupo chuo(mkoan),kiukwel walikula good tym sn sasa rafk angu kamalza chuo karud kwao na yule mpenz wake kamuacha ukouko mkoan.
Sasa uyu shemej angu kanpgia cm anaulza jamaa yupo wap maana kule kaondka kamuacha yey ni mjamzto na jamaa apokei cm akmpgia,pia kaniulza wazaz wa jamaa wnaish dar au mkoa?nlipojarib kumuulza indirect uyu rafk kasema kua alishamtua yule bint. bint analalamika sn ananiomba nimsaidie either ampate uyu rafk ang au nimsaidie awapate wazaz wa rafk ang. je nimsaidie rafk ang kuikmbia mimba au nimsaidie bint ampate rafk ang
wewe mwenyewe umeishia darasa la ngapi au ni haraka ya uandishi tu.?
Msaidie rafiki yako,kwani unajua sababu iliyomfanya aitelekeze mimba....!?
Have u ever been a futball referee? ungekua unapgwa daily.
NB; if u are a mediator u dont hv to band to1side