mgosimtata
Member
- Jul 5, 2014
- 35
- 5
Kuna rafiki yangu alikua na mpenzi wake kipindi yupo chuo (mkoan), kiukweli walikula good tym sana rafiki yangu kamaliza chuo karudi kwao na yule mpenzi wake kamuacha hukohuko mkoani.
Sasa huyu shemeji yangu kanipigia simu anauliza jamaa yupo wapi maana kule kaondoka kamuacha yeye ni mjamzito na jamaa apokei simu akmipigia.
Pia kaniulza wazazi wa jamaa wnaishi wapi? Nilipojaribu kumuulza indirect huyu rafiki kasema kua alishamtua yule binti. Bint ianalalamika sana ananiomba nimsaidie either ampate uyu rafiki anglau nimsaidie awapate wazazi wa rafiki yangu.
Je nimsaidie rafiki yangu kuikimbia mimba au nimsaidie binti ampate rafiki yangu