Nivitu gani ukimfanyia mpenzi wako akuachi mpaka kifo

Inategemea na unaempenda yupo vipi...

Kama hayupo kimaslahi

Upendo
Kumthamini
Kumjali
Kumsikiliza
Kumheshimu
Kuwa muwazi kwake
Kuwa rafiki wa dhati kwake

Hivyo vyatosha kumfanya akupende daima milele....

Hii imetokea kwangu...
 
Mwanamke/mwanamme hata apewe had kile kinyeo au kw chumvn.. huwa haturidhk na m1!!
So take easy mapenz n kuwa flexible
 
mpe mihela kwa wingi tu hata asipokuomba wewe mpe hela tu

hata ukiongea utasikia ana kwambia baby sauti yako inanifikisha kileleni
 
Kwanza nkupongeze kwa kuleta uzi huu!!

Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia pamoja Nautandawazi n kweli kabsa suala la mahusiano yani mapenzi limechkua nafasi kubwa sana na hii n kutokana na watu kuumizwa na matokeo yake kujiua ama kuathirika kisaikolojia na kuwa.na msongo wa mawazo!!!

Kuna mambo mengi sana yaliyochangia kubadilika kwa mahusiano ukilinganisha na enzi za Mamã zetu ambao ukiangalia kwa undani utaona kuna utofaut mkubwa sna jinsi mahusiano yao walivyoyajenga na hata walivyopata wachumba tofauti na zama hizi za FB, whatsapp nk

Ttzo linalosumbua sana kwa sasa ni kupata mpenzi ambaye siyo chaguo lako... Yani tunapenda sehemu ambazo hazikuwa chaguo na mapenzi haya yanakuwa yamesababishwa na some external factors... Utaona mtu kaachika zaidi ya mara tatu na hvyo anaamua tu kuchagua yeyote ntakayekutana nae huyo hyo na sababu ni kuitwa mke au mme wa Fulani ama niwe na kwangu tu kama syo kujipatia ama mtoto ama kitu kingne chenye mfanano huo toka kwa mpenzi huyo!!!

Mapenzi ya namna hyo matokeo yake hayadumu kwani kila mtu anakuwa na Interest zake so endapo hazita Match ndo utaskia watu wanajiua nk

Bnafsi nahsi kuna mambo mengi ambayo nahs yanaweza kusaidia upendwe na mpenzi wako ntataja machache

A. Kuelewa mwenzyo anahitaji nini na kumsoma nn hapendi yaani matamanio yake ni yapi na nn hapendi ktk nafs yake.... Hii itasaidia kuweza kuishi nae kwani inasaidia kumjua mwenzako

B mapenzi... Hii ni sababu kubwa kabsa na inatakiwa iwe ya kwanza koz ndio inabeba kila kitu... Mapenzi yana vitu 3 ...intimacy.. Commitment na passion.. Bila ya vitu hvyo huwez pendwa ndg matokeo yake utakuwa umebugi.... Mapenzi kwanza mambo mengne badae.. Mfan inashauriwa kila mmoja ampende mwenziye kwa kumheshimu na pia kujali hisia zake.. Usimdhalilishe mwenzio.. Muonyeshe kumjali... Sashv wadada weng kwenye ndoa wanategemea wwfanya kazi wa ndani ndo wanafanya kila kitu mfn kufua nguo za waume zao.. Kutandika vtanda... Kuwapikia an mbaya zaidi hata kuwapokea pindi watokakpo makazini... Hapa usitegemee kupendwa... Kingne wapenz mnalala vitanda kila mtu chake unategemea nn... Wazee wa zamani walikuwa wakilala kitanda 2 na nusu walijua koz kama kulikuwa na mgogoro ulisolvika automatically tofaut na sasa

C kingne nahs ni kusaidiana ktk masuala mbali mbali hapa hela hela hela hela.... Inahitajika so ndg mwananume kazana kupiga Kazi ndo mahaba utayainjoiiiii

Shukrani!!
 
Nyani Ngabu njoo usome hapa kwa makini
 
Uzi ndani ya Uzi
 
Back
Top Bottom