Nivema kusema kuliko kukaa kimya

wazabangah1

JF-Expert Member
Jul 16, 2014
315
114
Habari za usiku wana jf, kwa jina naitwa wazabanga, nilikua nashida kidogo, naweza kusema nitatizo au nikutokuelewa kwangu, kuna mwanamke nimetokea kuelewana nae sana, mwanzo tulipokutana ilikua nikwenye pub moja hivi ilioko maeneo ya kitaa chetu yeye kwa pale ni muhudumu basi kijana wenu nikarusha ndoano, ikakamataa kweli nikaomba mchezo nikapewa bila hiana, ili sikusahau jezi! Tuliendelea vile takriban mwiz huku mawasiliano yakipamba moto! Kuna kipindi hapa nyuma before Xmass aliniita nakuniambia ebana Mimi hii mipira yako inaniumiza Sana kwanini tusiende kucheki afya kama nikuacha kutumia tujue moja! Nikamwambia sawa tufanye hivyo! Ila mm kidogo nilikua nakauoga hivi! Nakapata root moja hivi ya babati ya kikazi kama siku 5 niliporejeaa ikabidi nimtafute kweli tukaonana na kabla yakufanya chochote akanilitea karatasi ya Hosp inayonyesha majibu yalikua hivi => HIV no reaction then at the back paliandikwa rejea 14 January akaniambia imebaki we ila hio January inabid twende wote, nkamjibu sawa! Sasa basi juz Xmass nilifika hapo kunapo pub yao baada ya boss Wake kunipigia simu kua MTU wangu amekunywa na amelewa ananihitaji, nilikpofika kweli alikua kapendeza na hata kuhudumia ilkua ni shida ili kwa mbali anajitambua ikabidi niondoke nae hadi mahali ambapo amepangisha room yake nilipofika nakampinguza baadhi ya nguo na kumlaza kitandani ili apate kupumzika ila mm ilinibid nikae kwenye kochi huku nikiwa nasimu yangu nachezea katka pita pita nkakutana na album ya picha kungalia vzr nkakuta picha imepigwa akiwa na mtoto Mdogo mpk Mtoto huyo amekua Mkubwa asubuh nilipoamka nikamuuliza akasema niwake na hua anakuja kumsalimia kwa kweli nilijihis inferior Sana ila nilijipa moyo konde nkasema ngoja niwaulize rafiki zangu je kunaumuhim wa mm kuendelea nae au kuwa mbali kuepuka misuguano ya hapo baadae! Hiki kitu kinaniumiza kichwa kwakweli nampenda ila situation hio kidogo inanipa walakin naomba ushauri kwa hilo. Msinicheke na samahan kwa ujumbe wangu mrefu
 
Vipi wewe una uhakika kuwa una uwezo wa kuzalisha Mpaka uone mtoto ni kikwazo kwa mahusiano yenu?

Tafakari,chukua hatua ..........
 
Sifikiri km mtoto ni tatizo km una uwezo wa kuvumilia mzazi mwenzio akiwa anakuja nyumban kwenu..mim nisivyopenda mtu anayekunywa hadi hatua hiyo, tena mwanamke,mmmh una moyo,ningekushauri uachane nae labda km na wewe upo ivo,ni mtizamo wangu tu.
 
Wawili wakipendana hakuna kizingiti kitakachowatenganisha mtoto sio sababu kinachotakiwa n jins mnapendana tu
 
Wakati mwingne unapoomba ushauri katika maamuzi binafsi kama haya ni hatari kwa maisha yako ya badae!!!!
Kupenda si kama mtu anavyonunua viazi sokoni kunokohitaji uchanganizi yakinifu!!!
Ishi na mwanamke huyo ili mradi mnaoana mambo mengi!!!
Maisha ni vile unavyoyaset ww,,,,,
Lakini unapopokea ushauri wetu kumbuka kuuchuja vema na akili yako mkuu!!

Farewell....
 
Nashukuru Sana kwa ushauri mzuri.
 
Nikadhani una tatizo kubwa kumbe mtoto?Sasa kiumbe wa watu yeye anakufanya nini hadi ujihisi mnyonge?Kama kweli unampenda dada wa watu wewe mpende
 
Kwangu mm kuwa na mtoto sio ishu kubwa kivilee.. Tatizo ni huo ulevi wake hadi anazima ni mbaya sn kwa mtoto wakike cjui kama ukienda tena babati huku nyuma akizima cjui nani atambeba kumpeleka room kwake na cjui kama atafika salama
 
Sifikiri km mtoto ni tatizo km una uwezo wa kuvumilia mzazi mwenzio akiwa anakuja nyumban kwenu..mim nisivyopenda mtu anayekunywa hadi hatua hiyo, tena mwanamke,mmmh una moyo,ningekushauri uachane nae labda km na wewe upo ivo,ni mtizamo wangu tu.

Kwa kipindi chote nilichokaa nae swala la kunywa si mnywaji ndugu yangu Kama unavyosema ile siku ndio alikunywa na akaomba nitafutwee Mimi ilikua katika mikono salama kwakua tayari alikwisha jichanganya
 
Kwangu mm kuwa na mtoto sio ishu kubwa kivilee.. Tatizo ni huo ulevi wake hadi anazima ni mbaya sn kwa mtoto wakike cjui kama ukienda tena babati huku nyuma akizima cjui nani atambeba kumpeleka room kwake na cjui kama atafika salama

Yeah true that! Nashukuru kwa ushaurii ndugu yangu
 
Mtoto sioni tatizo ila kikubwa kumpata anaye kupenda hususani mwanamke akikupenda yapaswa na wewe umpende kama kweli umeona ana muelekeo wa maisha
 
Daaah jamaa anaomba ushauri juu Ya mpenzi wake barmaid!!!
Hii story inafurahisha na kuhuzunisha kweli.
 
Daaah jamaa anaomba ushauri juu Ya mpenzi wake barmaid!!!
Hii story inafurahisha na kuhuzunisha kweli.

Sasaa kandir kinachokufurahisha hapa nini hasa? Mimi kumpenda barmaid au nini hasa? Je mwanamke barmaid Hana haki yakupendwa? Na je ningalimpenda muhudumu wa ndege ungeona sawa au ungalizidii kufurahi? Sawa sawa mavi kanya kuku, ila bata akifanya hivyo kaharisha na nimatatizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom