Niuzie...

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
461
0
Nahitaji,niuzie,ikiwa unaiuza simu yako aina ya
Nokia E63 au Nokia E66 sio kwa sababu ni mbovu ila kwa sababu tu labda umeichoka au una hitajio la fedha. Utaniuzia bei gani ya shilingi za kitanzania?

Shukrani zikufikie uliyepitia hapa.
 

Maamuma

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
853
225
...ikiwa unaiuza simu yako aina ya
Nokia E63 au Nokia E66 sio kwa sababu ni mbovu ila kwa sababu tu umeichoka au una hitajio la fedha utaniuzia bei gani ya shilingi za kitanzania?

Ikiwa nimeichoka nitaigawa tu - bure.
Kama nina uhitaji wa fedha nitaiuza kwa kiasi kinachoendanaendana na mahitaji yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom