Mbuty JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 421 Reaction score 254 Jan 14, 2015 #1 Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni.
Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni.
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,707 Reaction score 1,417 Jan 14, 2015 #2 Mbuty said: Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni. Click to expand... njoo nikupe TCL LED FLAT TV ..32'inches ..mpyaaa full box. ina mwezi mmoja tu.. ntie 480k nkuachie jamaa.. iko dar.. pia kuna singsung led flat tv...22'inches ina mwaka mmoja ila ni iko safi sana ... inataka 270k...ila hii iko dodoma
Mbuty said: Habari wapendwa,natafuta tv kuanzia inch 24-32. Kwa mwenye nayo tafadhari ani pm au anitext kwa namba 0755783420 na offer yako. Asanteni. Click to expand... njoo nikupe TCL LED FLAT TV ..32'inches ..mpyaaa full box. ina mwezi mmoja tu.. ntie 480k nkuachie jamaa.. iko dar.. pia kuna singsung led flat tv...22'inches ina mwaka mmoja ila ni iko safi sana ... inataka 270k...ila hii iko dodoma