Niuzie Smartphone

Nyete

Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
58
Reaction score
61
Wakuu Habarini Za Mihangaiko!
Naomba Mwenye li Smartphone la ukweli la kuuzia sura hata kama litazimwa mwezi wa 6 Aniuzie Kabla TCRA Hawajafanya yao, nami niigusi japo siku mbili tatu kabla haijazimwa. offer ni elfu 50.
asante
 
Hiyo ofa yako umeua mkuu. Njoo nikuuzie Samsung ya ukweli ila haifanyi kazi. Utaenda kutengenezesha mwenyewe kwa fundi...
Mkuu Haijalishi Itazimwa Na Tcra Au La Mimi Nataka Nitumie Japo Siku Mbili Tatu. Lakini Iwe Inafanya Kazi niuzie sura.
 
Kihelele.Sasa unafuga ng'ombe kwa ajili ya maziwa una akili kweli.Wakati mwaziwa special kibao..Wacha uwoga.Kamata dundu tia mimba azae alfu una revenge kama rambo
kamata xbo-v+http://
Mkuu Haijalishi Itazimwa Na Tcra Au La Mimi Nataka Nitumie Japo Siku Mbili Tatu. Lakini Iwe Inafanya Kazi niuzie sura.
 
usjali mkuu TCRA wakizifunga itazima tu network utaendelea kuuzia sura. nenda aggrey zipo hadi note 5 za hio bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…