Niuzie Smartphone, nina TZS 60,000/=

Niuzie Smartphone, nina TZS 60,000/=

AK 1

Senior Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
170
Reaction score
13
iwe kweny hali nzuri pls

budget yangu elfu 60000cash

0789521550
 
iwe kweny hali nzuri pls

budget yangu elfu 60000cash

0789521550

Elfu elfu zikiwa 60,000 mbona ni hela nyingi sana hiyo kwa simu tu? Yaani ni Million 60 hizo kwa ajili ya simu tu.

Au unataka mzigo mwingi zaidi?
 
Natafuta S4 used au ya mchina, njoo inbox kama unayo. thanks
 
Back
Top Bottom