Niuzie smartphone, bei laki na 70

Niuzie smartphone, bei laki na 70

Ninayo lumia 535 imetumika mwezi mmoja na ushee hivi, bado mpya kabisa. 200,000.
Ram 1 gb,kamera ya mbele 5mp,nyuma 5mp,window 8.1 with demin upgdable to window 10.
Internal memory 8gb.
 
Nimeiona japo haina 8mp rear camera tunaweza compesate kwa io 5.0 inch screen...apa Ipo 170 cash haipungui wala haiongezeki
 
Njoo nikupe huawei y530...bado iko vizuri
 
Tecno h6 160 fast a mezan mpunga simu yako INA miez wawili tu
 
mm nina tecno h6 mpya bado unapata kila kitu chake 170
 
Vigezo na masharti havizingatiwi, fedha ipo atakae kidhi vigezo apo juu offer ipo 170 cash...
 
Boya! Neno lakishujaa kwangu Umuhimu wa boya wanaufahamu waliokoka mv spice huwezi kuufuhamu, na sijasema nataka s4.
Jion njema.

Hahahaha ni hivi kwa hiyo hela huwezi pata simu nzurii kama samsung utapata ya kizamanii
 
Back
Top Bottom