Niuzie simu hii tarehe 5 Dec

Hapa balaa, mnunuzi ana masharti maana kapata pesa kwa shida, muuzaji naye ana bei yake maana anafahamu gharama alizotumia; mwisho wa siku mnunuzi itabidi ufuate muuzaji atakacho maana wewe ndio wahitaji zaidi. Punguza masharti bwana.
 
Kwa hiyo Tecno sio original ??? Pasua mkubwa wewe !!! Simu huzijui alafu unaleta story hapa !!!

Hahahahaaa we jamaa unaandikaga comments zako as if uko chooni unaugulia kipindu pindu
 
Tecno is not the cheapest !!! Nataka ujue Hilo kwanza !!!

Brands kama itel na Viwa ndiyo unaweza kusema ndiyo cheapest

Tecno ni mojawapo ya cheap phones , hazina added advantage yoyote ..
 
Hapa balaa, mnunuzi ana masharti maana kapata pesa kwa shida, muuzaji naye ana bei yake maana anafahamu gharama alizotumia; mwisho wa siku mnunuzi itabidi ufuate muuzaji atakacho maana wewe ndio wahitaji zaidi. Punguza masharti bwana.

Haya mkuu, we leta mzigo tarehe hiyo
 
Kwa bei hiyo
Kwa brands za Sony, Samsung,Na Nokia
Kwa condition hizo ulizoweka
Simu hizo utazisikia Kwa wenzio tu wakiwa nazo.
 
Tecno ni mojawapo ya cheap phones , hazina added advantage yoyote ..

Yes hapo sawa !!! Ni moja wapo ya cheap phones !!! Sio cheapest kama jamaa anavyosema !!! Viwa na itel ndio cheapest smartphones !!!

Ila TECNO wana high end pia !!! Kama phantom 5 !!! Inauzwa 750,000 - 800,000
 
Kwa bei hiyo
Kwa brands za Sony, Samsung,Na Nokia
Kwa condition hizo ulizoweka
Simu hizo utazisikia Kwa wenzio tu wakiwa nazo.

Hakuna brand nisiyoipenda km Samsung. Nimewahi kuwa nazo kadhaa, tecno ni bora kuliko Samsung
 
Mkuu inawezekana hujawahi kumiliki samsung, nyingi zilizopo mitaani ni za kichina (clone)
kwani wewe umewahi kumiliki samsung aina gani?
 
Kwa hiyo Tecno sio original ??? Pasua mkubwa wewe !!! Simu huzijui alafu unaleta story hapa !!!

Nitajie processor ya tecno, alafu nitajie na processor ya samsung...then tujadili tofauti zake ni nini?
 
Pasua tu !!! Huna lolote !!! Samsung Ipo juu kwa quality !!! Lakini haimaanishi TECNO sio original because ni Chinese brand !!!

Xiaomi Mi karibuni itakuwa number 1 despite being Chinese brand
 
Mwambie sasa huyo jelebi mwenzio washwa washwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…