Niuzie RunX/Allex/Premio bajeti 7mil

Niuzie RunX/Allex/Premio bajeti 7mil

MC7

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
592
Reaction score
491
Nahitaji gari kwa ajili yangu kati ya Runx/Premio au Allex namba C au D.
Bajeti yangu ni 7mil.
Rangi yoyote isipokua nyeupe.
naweza kuilipia hata Sasa baada ya kuikagua na kukubaliana.
Nipgie au watsp No 0738439308.
Nipo Dar es Salaam.
 
Karibu 0738439308
images-37.jpeg
images-41.jpeg
images-40.jpeg
images-15.jpeg
images-43.jpeg
images-24.jpeg
images-39.jpeg
images-49.jpeg
images-36.jpeg
 
Title inasema niuzie.maelezo yanasema nitalipia.wap hujaelewa zaidi.
Nahitaaji,karibu sana kama unalo mojawapo kati ya hizo gari.
mbonq husomeki,unauza haya magari au unataka uuziwe gari moja wapo kati ya haya?
 
Back
Top Bottom