Window 2010 ni nini?Nataka modem ya universal, 4g, iwe inasupport window 2010 pia, wireless.
Bado hujajibu swali, window 2010 ni nini?Kuna modem zingine huwa hazi support baadhi ya window
Duh. Software. Window inayoingizwa kwenye computer. Mfano window 2007, window 2010 etcBado hujajibu swali, window 2010 ni nini?
Nitaftie 4g tufanye biasharaIPO ya 3g ya mitandao yote elfu 20 0625533419
Duh haya, hizo naona utakuwa umegundua wewe.Duh. Software. Window inayoingizwa kwenye computer. Mfano window 2007, window 2010 etc
Naskia zipo amabazo hazisupport baadhi ya window. Wew una ipi?Duh haya, hizo naona utakuwa umegundua wewe.
Najua ambazo zinasupport operating systems zifuatazo;Naskia zipo amabazo hazisupport baadhi ya window. Wew una ipi?
Sas hapo una ipi tufanye buasharaNajua ambazo zinasupport operating systems zifuatazo;
MS Windows 7, Windows 8, Windows 8.1, Windows 10, Linux, MacOS,etc
Hizo zako labda zinapatikana sayari ya mars
Computer yangu ni windows 10Lugha gongana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo ulichotakiwa kusema sasa, hakuna modem inayochagua windows bana!Computer yangu ni windows 10
Sina uhakika ila nimeskia tu na mimi ila sijaona. Sasa wew unayo modem au?Ndo ulichotakiwa kusema sasa, hakuna modem inayochagua windows bana!
Ninayo ya matumizi yangu tu, na ni ya airtel 3gSina uhakika ila nimeskia tu na mimi ila sijaona. Sasa wew unayo modem au?
Mkuu mi ninayo huawei ya 4g ila haina wirelessNataka modem ya universal, 4g, iwe inasupport window 2010 pia, wireless.
Ninayo wireless ya vodacom nisha unlock 4 nicheck whatsapp 0754604567 nikupe maishaNataka modem ya universal, 4g, iwe inasupport window 2010 pia, wireless.