Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hizi ndo fikra zetu wa Tanzania.Mambo ya Dongle,hahaaaa
Nshalia na hizo modem za wachina, sijui zinaku ni toys ama ni nini, ndo maana nimeona nije hapa na nimeamua kuwa categorical kuwa ziwe modem za Huawei na ZTE.nimejisemea tu ,by the way wewe nigwiji wa online purchese mjini aliexpress apo ninaona viko affordable sana mkuu, waweza jilipua apo.
Ww upo dar sehemu ganiHabari wana Jukwaa.
Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini:
- Huawei
- ZTE
Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/=
Hivo kama kipindi cha nyuma uliwahi kuwa na Modem za Huawei E153, E173, E303 au model yoyote ya ZTE au modem nyingine yoyote, unaweza kuniuzia uka top up ukanunua MiFi router.
Modem zile za ambazo haziingizi line kama ile ya zantel enzi hizo haitofaa kwa kazi yangu.
Ninaitaji modem 20, Offer yangu inaanzia 15,000/= kulingana na condition ya hiyo modem
Tuwasiliane 0753932250 au post picha yake hapa hapa na dau lako.
Asanteni
View attachment 2994803
Nipo Magomeni mkuuWw upo dar sehemu gani
Nashukuru Mkuu, naomba ni PM basiKiukweli basi mbadala uwe ebay manake kiukweli ni mtihani sana ila kuna huyu mwamba anazo waweza mcheki ni huawei na yuko mjini kwenu nakutumia namba inbox sina kibali chake kuweka namba hadharani
HayaNashukuru Mkuu, naomba ni PM basi
Tayari ninekutumiaNashukuru Mkuu, naomba ni PM basi