Nahitaji laptop iwe nyembamba sana, used au mpya halimradi isiwe na bei kubwa sana. Internal storage 500gb. Sitaki MacBook jaman mm mkulima, nitafute hapa 0789095484. Rangi nyeupe, nyekundu, zambarau, kijivu, blue vyote sawa tu.., ikae na chaji na isiwe na tatizo. Lete tufanye business fasta yani