Niuzie king'amuzi used cha Star Times

Niuzie king'amuzi used cha Star Times

kaka embu nenda kanunue kipya jirani yangu amekwenda jera miaka kumi kwa sababu amenunua kingamuzi ambacho baadae ilingundulika kilikuwa kinatumiwa na mtu amabye aliibiwa kwa ujambazi then mlinzi siku ya tukio alikufaaaaaa take care
 
Njoo uchukue. Nilitumia mwezi mmoja nikaanza kutumia digitek maana huku startimes signal weak nikakiweka tu.
 
Hahaha bado watu wananunua huo u.jinga. nilinunua 2010 wakati wa world cup baada ya miezi 6 nikakitupa stoo
 
Back
Top Bottom