Niuzie iPad air

Hujui unachoongea na kuandika..kaa kimya..ipad utafananishanna huo uchafu wa lenovo sijui ..mxxxxx

Kuwa na heshima unapojibu comment za watu.
Je nikuulize wewe umetumia ipad?
Mimi nimetumia ipad 2 na bado ninatumia hadi sasa na ndiyo maana naweza kumshauri huyu mtu hapo juu kuwa siyo best option kwa mtu kutumia
Sasa kama wewe unaona tofauti kwa nini usiandike comment yako mwenyewe kuelezea maoni yako?
Hili ni jukwaa, jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine hata kama yapo tofauti na yako. Siku njema
 
Hahahaha !! 😂😂 pointless ulichokisema hapo hakiendani kabisa na ipad 2. Na hiyo point namba 5 😂😂 imejieleza upo nyuma kiasi gani
 
Hahahaha !! 😂😂 pointless ulichokisema hapo hakiendani kabisa na ipad 2. Na hiyo point namba 5 😂😂 imejieleza upo nyuma kiasi gani

Hakiendani ni ipad 2 kivipi?
Ni changamoto kwa wale tunaopenda kuweka bundle za internet na the fact kwamba sim card utakayotumia kwenye ipad huwez kutumia popote kwingne unless ni simu inayotumia microchip
 
Hahahaha !! 😂😂 pointless ulichokisema hapo hakiendani kabisa na ipad 2. Na hiyo point namba 5 😂😂 imejieleza upo nyuma kiasi gani

Naomba unielezee ipo pointless kivipi?
Umetumia ipad 2 na kuona tofauti?
Na tambua kwamba sizungumzii ipad 3 au version zilizokuja baadae. Na nashangaa unapata wapi audacity ya kusema hivyo wakati hii ni common problem kwa ipad 2 users. Ingia website ya apple user QnA usome matatizo uone kuwa watu wanakutana na matatixo haya haya niliyokutana nayo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 imepungua sensivty? We sema tu ipad yako mbovu...
 
Nimeona comments zako mkuu , Nimeona ni reply hii .....

solution ya hiyo iPad ni kununua ipad nyingine ambayo Ina iCloud lock then badilisha motherboard yako weka kwingine , ur problems will be solved , Kwa maelezo zaidi nipe pm Kwa cost n.k
 
Hiyo gharama yake sasa. Nimeamua kuchukua tablet nyingine mkuu!
 
i concur with You!
 
pengine walijua ww ni mkulima wa pale shinyanga hujui kitu chochote mkuu
 
gasgas inawezekana iPad uliyonayo ni half-original na ndio maana inakusumbua...Apple bidhaa zao ni nzuri sana. Nimesoma maelezo yako hapo nahisi kuna tatizo binafsi kwny hicho kifaa chako!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu gasgas, hakika upo vizuri sana na ni kweli version za nyuma za iPad zina problems nyingi na ni kweli zimekuwa kikwazo kwa watu kumeet their needs.

By the way, you impress the way u handle punches from the fool ones!
 
Last edited by a moderator:
iPad ni mwisho wa matatizo, natumia iPad air, kinachoniboa ni kitu kimoja bhaaaaaaaaasi uwezo wa kutokupiga simu! Otherwise iPad is the best tablet ever. Mwanzo wa kuitumia ni mgumu lakini ukishaizoea si mchezo utaiona utamu wake zaidi ya mcharo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…